Kitendo wanachofanya Wachagga December ni utamaduni wa Kiyahudi

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,785
Reaction score
167,928
Luka Mlango 2

1 Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.
2 Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyoandikwa hapo Kirenio alipokuwa liwali wa Shamu.
3 Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.
4 Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;
5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
 
Mlango 2

Hata Afrika, Amerika, Hindi, China, Josean, Han, Bhudha wote walihesabiwa?
 
Wachagga wako sahihi sana Kila Xmas kurudi nyumbani kuhesabiwa
Upo wapi mkuu mashati, tarakea , mwika ,machame cental, sanya , kiborloni , kwa sadala au mbokumu etc . Wape hai wote nimepamis mbege original na noah za hapo KB kwa Macha.
 
Mlango 2

1 Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.
2 Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyoandikwa hapo Kirenio alipokuwa liwali wa Shamu.
3 Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao.
4 Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;
5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
Wachagga ni matambiko!!
 
Kwahiyo wachaga ni wayahudi wadogo !?
 
Sasa Mtu Kama Mimi Mzaliwa Mwanza Nirudi Wapi? Ukiwa Nje Ya Ulikozaliwa Lazima Urudi Kwenu Siyo Lazima Iwe X Mass
 
Ahsante kwa Ufunuo.

Mbona umeandika Mlango wa Pili bila kutaja Kitabu?. Pia Xmass ndiyo nini?. Kama kusudi lako lilikuwa kuandika Krismasi/Christmas basi siyo kama ulivyoandika.

Binafsi sipendi. Na nikishaona mtu anaandika Xmass badala ya aidha Krismasi/Christmas basi nafedheheka mno. Ni uandishi usozingatia mantiki ya jambo.

Christmas - Wikipedia

I stand to be corrected.
 
Me sijarudi nyumbani coz vyuma vinakutu... [emoji23] [emoji1] [emoji119]
 
Wachina kila januari huwa wanarudi kwao kuadhimisha mwaka mpya wa kichina tena huwa inaitwa 'Great Migration of Human Beings'
 
Ahsante kwa Ufunuo.

Mbona umeandika Mlango wa Pili bila kutaja Kitabu?. Pia Xmass ndiyo nini?. Kama kusudi lako lilikuwa kuandika Krismasi/Christmas basi siyo kama ulivyoandika.

Binafsi sipendi. Na nikishaona mtu anaandika Xmass badala ya aidha Krismasi/Christmas basi nafedheheka mno. Ni uandishi usozingatia mantiki ya jambo.

Christmas - Wikipedia

I stand to be corrected.
Ushamba wako tu mkuu

X mass ni kigiriki , X stand for xristo
 
Ushamba wako tu mkuu

X mass ni kigiriki , X stand for xristo
Ahsante kwa kunitoa ushamba.

Kwanini usimalizie kwa kuandika neno zima Xristo ili kuondoa double standards?. Endelea kunitoa ushamba boss.
 
Wachina nao hutiririka kwa wingi kwao Kila January kusherehekea mwaka mpya
 
Hivi mkuu kipindi hichi ina maana naye hajaenda kwake?au na yeye vyuma vimekaza
Hata kwao wamemchoka Kila siku yuko Huko, Mara akakae kwenye vijiwe vya mafundi viatu, yaani ni sheeeedah
 
Back
Top Bottom