Nauliza BOMBADIA yetu inatulia lini?

Nauliza BOMBADIA yetu inatulia lini?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Baada ya Bombadia yetu kutiwa nguvuni nchini Canada na serikali kudai itawasili siku si nyingi ile mwaka Jana 2017

Cha ajabu mwaka ushaisha hakuna cha ndege wala pangaboi wala bombadia iliyowasili

Wajuvi wa mambo mniambie dege letu linakuja lini manake nimetenga bajeti mwaka huu ya kusafiri safiri na bombadia nataka nionje kupanda zote hizi zilizoko nchini na ile ya kule Canada

Halafu mwezi Juni mwaka huu si ndo ile terrible teen yetu a.k.a Boeing 787 Dreamliner si ndo tuliambiwa inaingia naisubiri kwa hamu sana nipande Terrible teen[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Unataka ufanyiwe alicho fanyiwa Tundu lissu?
 
Kipanya mwenzako huyu huku!
 
Unauliza Bomba mapenzi? Muulize Pogba ule mpunga wa makinikia upo wapi tununue Noah zetu? Na sijui kama ule mchanga bado upo pale bandarini
 
Mbona ishatua mkuu kitaambo tu au hausikii inavyo hit kitaa huko "bomba bombadia hili dude kubwa sana kama bombadiaaaaaaaaa" kionjo hicho hapo
 
acha kuota kijanaa....unasubir meli airport
 
Mbona ishatua mkuu kitaambo tu au hausikii inavyo hit kitaa huko "bomba bombadia hili dude kubwa sana kama bombadiaaaaaaaaa" kionjo hicho hapo
hahaaaa hii machine kubwa sana kama bombadier
 
Ile $300 million ya makinikia imeota mbawa? Au imeshalipwa na kuishia kwenye bank accounts za mafisadi kule Uswiss?

Baada ya Bombadia yetu kutiwa nguvuni nchini Canada na serikali kudai itawasili siku si nyingi ile mwaka Jana 2017

Cha ajabu mwaka ushaisha hakuna cha ndege wala pangaboi wala bombadia iliyowasili

Wajuvi wa mambo mniambie dege letu linakuja lini manake nimetenga bajeti mwaka huu ya kusafiri safiri na bombadia nataka nionje kupanda zote hizi zilizoko nchini na ile ya kule Canada

Halafu mwezi Juni mwaka huu si ndo ile terrible teen yetu a.k.a Boeing 787 Dreamliner si ndo tuliambiwa inaingia naisubiri kwa hamu sana nipande Terrible teen[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Leo, January 2, 2018 ni deadline ya siku 30 za magogo ya Kigwangala.

Hii kiki imeishi wapi?

DSC_3678.jpg

DSC_3658.jpg
 
Watz waviv wa kufikiri mara paap wamesahau kuhusu makinikia na BOMBERDIER
 
Mv bagamoyo.......
Bombadia...........

Sgr......twaisubiri
Kuhamia Dodoma.....twaisubiri
 
Hapa ndio tushajua nani
1.Muongo na mkweli
2.Mchochezi na mzalendo
 
Back
Top Bottom