Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,658
- 33,663
Mie wa kwanza ni
waziri wa Elimu ,
aongeze masomo ya biashara ,kilimo na computer
pia aongeze masomo watoto wa secondary wawe na varieties,mfano masomo kama accounting,electonics,environmental studies,yangeongezwa,science sio ma physics na mabiology peke yake,…………………….. forg
Waziri wa AFYA
Matibabu yawe bure kwa wazee na wasiojiweza,
More referral hospitals zijengwe
More rehabilitations centres kwa ajili ya matibabu ya afya ya akili.
Waziri wa mambo ya ndani,
Afanye review kwenye kuwaandikisha watu jeshini,kukosa ajira kwa waliomaliza ni uzembe,bora mngewaacha watafute kazi wenyewe kuliko kuwapotezea muda.
Waziri wa viwanda.
Kwa shule za secondary,kutolewe scholarship au udhamini kwa masomo ya juu kwa wale, watakaofaulu vizuri,kwenye masomo ya Biashara,Kilimo na Computer,we need all these tukielekea serikali ya viwanda.
Ungependa waziri gani,afanye nini especially 2018???