Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Katika kero mpya inayoendelea kwa sasa Arusha basi ni uwepo mkubwa wa trafiki barabarani. Kwenye hii barabara ya Arusha to Moshi.
Kila baada ya mita 300 unakutana na kundi la Trafiki, mbaya zaidi wanalazimisha makosa epsecially Issue ya speed Limit.
Mfano kutoka mianzini hadi Tengeru/USA unakuta hakuna limit ya speed zaidi ya tuta tu , ila unakuta jama wanajificha kabisa mpaka vichakani.
Unatoka Mianzani pale Florida unapigwa mkono, unafika kwenye taa Mianzini unasimamishwa, Pale Sanawari unapigwa mkono tena.
Ukifika Philips ndio wamejaa na wanapaki gari barabarani kabisa, ukiteremka pale Kwa Mrefu wapo kama nyuki.
Katikati mji (Arusha mjini) ndio usiseme kila kwenye kona wamejificha, mtueleeze tu kama ni zamu ya Arusha kukusanya mapato mwaka huu, otherwise hii ni kero.
Moshi Arusha mtu unatumia saa nne kufika, uchumi unajengwa vipi kwa style hii ya kucheleweshana.
Cc Mrisho Gambo.