Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawasalimu ndugu zangu,naomba kuuliza kwa wanaojua kinachoendelea TRA juu ya ukataji wa leseni,mimi nimekata leseni yangu tangu mwezi wa kumi mwaka jana lakini mpaka leo sijaoata na napigwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ifike mahala wanaume mjitathmini.. Hasa wenye tabia ya kukopi kila neno la kijinga linalozuka kwenye mitandao. Kuna hili neno "Jomoni"... Nililiona mara ya kwanza huko insta ..nikajua ni ujinga...
27 Reactions
127 Replies
11K Views
Nimepita hapa mgahawa wa Kilimanjaro Fast Food uliopo katikati ya Mombo na Korogwe nimejionea mambo tofauti. Kwanza msosi wao ni mzuri una hadhi na unaendana na hela unayolipa. Pili, wahudumu wa...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amebaini madudu kwenye Vyama Vikuu vya Ushirika vya Mbinga (MBICU na MBIFACU) na kuagiza uchunguzi ufanyike kuanzia leo. “Nikiondoka hapa jukwaani, viongozi wote wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika tukio mojawapo litokanalo na athari za mvua hiyo, watu wawili wanahofiwa kufariki dunia katika eneo la kata ya Kikombo, Manispaa ya Dodoma baada ya gari lao kusombwa na maji kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa hivi hawa mawaziri wastaafu bado wanahadhi ya kupigiwa saluti na maafande hapa ninamaanisha wale waliohama chama tawala na ambao bado wapo chama tawala
0 Reactions
4 Replies
1K Views
[emoji102][emoji317][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83].
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Kwa kawaida vingozi au watu mashuhuri ambao walishakuwa na madaraka fulani Serikali zilizopita wakipatwa na tatizo Serikali iliopo madarakani huwa ya kwanza kutoa tamko au barua ya pole kwa...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
MSHINDI wa Tuzo ya Amani ya Nobel kutoka Kenya, Profesa Wangari Maathai, amefariki dunia katika Hospitali ya Nairobi alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa saratani. Maathai, aliyeshinda tuzo hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana Tanroads wametimiza azma yao ya kuvunja msikiti wa kimara mwisho, msikiti wa Kirumbi. lililkuwa tukio la aina yake, ambapo watu wengi walionekana kufuatilia kinachoendelea, huku wakiwa...
26 Reactions
116 Replies
15K Views
Mpaka naweka huu uzi yamenikuta na nimeshindwa kuvumilia. Hi huduma ya simbanking ni hovyo mno kuliko nilivyokua nafikiria, nina visa viwili nitawaambieni. Kuna siku nilikua nimekwama sana...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo, nimesoma post kadhaa humu zinazozungumzia ukuu wa kanisa katoliki na wao ndio wanaamua nani awe raisi wa nchi yoyote duniani.... Wakati huohuo kuna story...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Unajua jamani radi ni kubwa balaa huku kwetu ila nikingalia t.v na taarifa za radia, sioni msisitizo ukilingana na ukubwa huu, Huko tanga nako naambiwa kuna mama amefariki jana kwa Radi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku ya leo Mbunge wa Singida Mashariki, Mheshimiwa Tundu Lissu ameongelea tukio la kupigwa risasi zaidi ya 30 miezi 4 iliyopita mjini Dodoma. Hiyo ni habari kubwa sana kwa chombo chochote cha...
9 Reactions
103 Replies
9K Views
Declaration of interest:Halotel ni mmoja ya mtandao ambao kwa upande wa internet wanafanya vizuri sana kwa hapa Tanzania.kwa hilo nawapongeza Huwa na tabia ya kutumia chip ya halotel nikiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka imeshuhudiwa idadi kubwa ya wachaga wamerudisha mpira kwa kipa yaani wamerudi kwao Inadaiwa kuwa zile zama zao za kuishi kama wafalme kutikiswa hivyo kuamua kurudi kwao kujipanga upya kwa...
2 Reactions
75 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa chombo kimoja cha habari star times imepigwa faini ya TSHS mil.100 kwa kuendelea kutoza gharama kwa chanel zote zinazotakiwa kuonekana bure.Chaneli hizo ni kama vile ITV,STAR...
5 Reactions
122 Replies
15K Views
Siku hizi imekuwa kama ni fasheni kumsikia mtu akisema "sikusikii vizuri, ngoja nipige tena", hivi hii ni halali kweli?!, tunatoa hela halali kununua vifurushi, ila huduma ni mbovu, na wananchi...
1 Reactions
4 Replies
876 Views
Nimeona orodha ya Taasisi sugu zinzodaiwa kutokupeleka majina ya waajiwa wao wanaodaiwa na bodi.Orodha ndogo niliyoiona ndiyo imenifanya nione hawa jamaa hawafikiri vizuri. Kama wana sababu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…