Breakdown cars punguzeni gharama

Breakdown cars punguzeni gharama

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,873
Reaction score
7,145
Mtu umepata ajali unakuta gari ishavutwa iko police, ulizia charge sasa ndio utashangaa.

Tajeni bei ambayo ni reasonable jamani.
 
Mtu umepata ajali unakuta gari ishavutwa iko police, ulizia charge sasa ndio utashangaa.

Tajeni bei ambayo ni reasonable jamani.
Kama una comprehensive insurance,wanalipa towing charges
 
Duniani kweli kufa kufaana, hao jamaa inaonekana kwenye sala zao wanaombea ajali itokee au gari lichemke ili waingize pesa.
 
Duniani kweli kufa kufaana, hao jamaa inaonekana kwenye sala zao wanaombea ajali itokee au gari lichemke ili waingize pesa.
Aisee kweli the world is not fair, ukipata matatizo wengine wanatumia tatizolako kujinufaisha, yani charges haziendani na uhalisia wa ukubwa wa kaziyenyewe iliyofanyika.
 
Breakdown karibu zote zao,hakuna mwanya wa makubaliano
laki mbili,tatu nne pia inategemea na umbali wa kutoka eneo la ajali na kituo cha polisi
Yani wanakuwa kama wanafidia mudawaliokaa bila kazi kusubiri ajaliitokee.
Jambo lenyewe ni dharula alafu mtu analopoka pesatu utadhani umejiandaakupata tatizo.

MUNGU anawaona hawajamaa maana wanakomoa sana.
 
Safi sana! Kama Gari lako bovu peleka kijijini. Nchi nyingine Gari hairuhusiwi kutembea miaka 3 barabarani kuepusha hayo unayosema.
 
Safi sana! Kama Gari lako bovu peleka kijijini. Nchi nyingine Gari hairuhusiwi kutembea miaka 3 barabarani kuepusha hayo unayosema.
Nadhani hujaelewa post.
 
Safi sana! Kama Gari lako bovu peleka kijijini. Nchi nyingine Gari hairuhusiwi kutembea miaka 3 barabarani kuepusha hayo unayosema.
Kwa hiyo gari chini ya miaka 3 haipati accident [emoji15]
 
Huwa wanapigia trafic sim, ukipata shida tu wanakuja na gar lao wanaegesha pemben kama hawaakuon vile. Mara paap trafic huyu hapa.

Unavutwa jangwani hadi faya laki 4.
Ndio maana migari yao na sura zao vinafanana..[emoji16][emoji16] hela za dhuluma zile
 
Kuna siku walimvuta ndugu yangu toka mataa ya ilala boma hadi kituoni cha polisi cha ilala umbali wa nusu km wakataka laki moja na themanini.... Na ndugu yangu alivokuwa mtata wakaambulia elfu ishirini ya petrol waliyotumia.... Ni kukomaa nao tu
 
I like this...180 kwa mtonyo upi labda
 
I like this...180 kwa mtonyo upi labda
Huwa wanachukulia uoga wa watu kwa polisi maana ilitajwa hiyo hela mbele ya askari aliyepima ajali...... Ndugu yangu akamtaka askari ampe kifungu cha sheria kinachotaka alipe hiyo gharama... Hakupata jibu lolote toka kwa afande
 
Back
Top Bottom