Maajabu ya Vibao hivi Area C- Dodoma

Maajabu ya Vibao hivi Area C- Dodoma

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
466
Reaction score
468
Leo katika pitapita nkaona hivi Vibao maeneo ya Area C.

Kibao cha kwanza Kimeandikwa *Celf* contained room
Na hicho kingine ndo hivyo tena kibabua na Migebuka ni wa Ziwa Victoria.

c541d6b4a3f6fdbf6c315f2ce8da0176.jpg
815c25ed1dbc682a9392ba6d83050d05.jpg
 
Nigebuka wanapatikana ziwa victoria ndio waliozungumziwa hapo, ila Migebuka ndio wapo ziwa Tanganyika
 
ebu watafute kwa namba za simu hizo hapo ili wakujuze zaidi nini walikuwa wana maanisha na kwanini hawaja badili kama wana fahamu kuwa wamekosea....
 
Kadri siku zinavyokwenda wataandika xelf kabisa, machoko wanazingua sana. Angalia wanavyoharibu maneno;
Siku - cku
Sana - xna
Simu - cm
Ongezeeni na nyie wana jf, me huwa nakereka sana mtu akiniletea uandishi wa hivyo.
 
angekuwa mfanyakazi wa serkali hii sijui nini kingetokea... hawa wanao amini kuwa nyerere bado rais...! chama cha nyerere....
 
Back
Top Bottom