Moshi.Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Wilson Kalanga (28) Mkazi wa Shirimatunda kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa mdogo wake mwenye umri wa miaka sita.
Kamanda wa polisi mkoani...
Serikali yaufunga mgodi wa Zem Tanzania Limited wilayani Butiama baada kuupuuza agizo la Serikali la kuwapatia vifaa vya usalama na kinga wafanyakazi wake, kushindwa kuwapa mikataba ya ajira, huku...
Mtwara. Wakazi wa kijiji cha Mtendachi halmashauri ya wilaya Mtwara wamejitolea kujenga shule ya msingi kijijini hapo ili kuwaondolea watoto wao adha ya kutembea umbali mrefu kwenda shule iliyopo...
Makala hii ni miongoni mwa makala za hayati Munga Tehenan, zilizowahi kutoka katika Gazeti la Jitambue. (Gazeti hilo limesimama kuchapishwa kutokana na sababu za kiufundi)
Nimeamua kuirejea...
Mambo vipi fellaz
Leo nimeona nije kivingine. Nakuja Na uhasishaji wa kusoma vitabu.
Eat that frog
Kitabu hiki ni kifupi Na kizuri sana, kimeandikwa kwa kiingereza rahisi kueleweka hata kwangu...
Kampuni ya Reli Tanzania TRL leo January 13, 2018 imetoa tangazo kwa abiria wake kuwa inasitisha huduma ya usafiri kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchi...
Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa...
Mh. Waziri wa Nishati tafadhali tupia macho TANESCO Wilaya ya Hai.
Wanafanya kazi kwa mazoea na kila unapoenda kwa ajili ya huduma ni watu wa njoo kesho njoo kesho bila kujali wateja wanatoka...
Wakuu nina kifahamu kiingereza vizuri tu japo si sana ila nina matatizo kidogo kwenye hii lugha ,matatizo yenyewe ni haya:
(1)Juzi kati nilibahatika kufanya interview katika kampuni flani hivi ya...
Naombeni kuuliza wana jf wenza wajuzi mnijuze tafadhali, je, inaluhusiwa waya wa umeme wa selves line kupita juu ya fensi ya nyumba na sio paa la nyumba maana naofia kuanza ujenzi wa fensi nisije...
Wakati uongozi wa kata ya Nyehunge wilayani Sengerema umepitisha sheria ya kuwacharaza viboko 12 au faini ya Sh10,000 wanaume watakaokutwa wamesimama na wanafunzi wa kike, Wilaya ya Tandahimba...
Kumbe hii shida ya kukatikakatika kwa umeme ni kutokana na chanzo muhimu kufungwa.
Mtambo wa IPTL ndio kwa kiwango kikubwa ulikuwa unahimili shida ya umeme nchini.
Tangu mkataba wake kuzimwa na...
Mizizi ya dhambi, au vilema vikuu au vichwa vya dhambi ni orodha ya maovu ambayo tangu zamani za mababu wa Kanisa katika maadili ya Ukristo yanahesabiwa kuelekeza binadamu kutenda dhambi nyingine...
Wakazi 40 watiwa mbaroni kwa mauaji Serengeti
Zaidi ya wakazi 40 wa Kijiji cha Mikomariro wilayani Bunda wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Mkoa wa Mbeya ulio nyanda za juu kusini ukiwa umepakana na mkoa wa Rukwa,njombe, singida pamoja na nchi jirani kama vile Malawi na Zambia. Wakaaji wa jiji hili wengi wakiwa ni Wasafwa...
Mbunge wa Jimbo la Mbozi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Paschal Haonga amesema kuwa hana mpango na wala hayupo tayari kuhama chama hicho na endapo ikitokea akahama chama...
Nina mji pale Bomang'ombe Wilaya ya Hai sasa imekuwa mara ya 2 nimepewa bili ya maji nilipie mara 2 huku nikiwa nimeshalipia na imejumlishwa na bili ya mwezi ufuatao, kaja jamaa mwingine...
Bomoabomoa hiyo ilianza katika maeneo ya Kamanga Feli kuelea Mtaa wa Stesheni ya treni na kuyakumba majengo ya Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Posta...