Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,855
Waziri wa Mazingira,Waziri wa Ardhi,Mkuu wa mkoa na wilaya ya kinondoni,Mbunge wa Kawe Sisi wananachi tunaopenda kwenda kupumzika kwenye beach za wazi sasa tunazidi kuzuiwa na matajiri wachache.
Ilianza Mbezi beach rainbow kule alikojenga Mch Rwakatare na sasa Kule Jangwani beach nyuma ya uwanja wa Kulenga shabaha wa jeshi kuna kigogo anayesemekana ni mtoto wa Raisi mstaaafu mzee mwinyi amezungusha bonge la ukuta kuzuia eneo la wazi la bahari amabako watu wa kawaida huenda kupumzika.
Tunaomba mamlaka zinazohusika na Ardhi na fukwe kuangalia swala hili kwa undani maana hata uhalali wa kiwanja husika kwa macho ya kawaida ni batili.