Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Wakuu,..naona pepo la kuoa linaniandama,yaan nmeamin usem unaosema wakat wa kuoa ukifika utaoa tuu,..mi ni boonge la bachela yaan..na nna mabint kadhaa wawil nmekua nawapima na wengne ni wa utamu tuu.sasa kila kukicha kuna majukum yananiandama na ni mwanamke tuu ndo hua anayasolve,mi hua ni ngum kuyasolve ila akija mdada tu fasta,..
Sasa nadhan muda umefika wakuu,yaan bila kulazimishwa,najikuta tu inabid nioe,..
Ushaur tafadhal wanajamv,..nmekua nikisita mda mref,umr wangu ni under 30 n not below 27,..
Sasa nadhan muda umefika wakuu,yaan bila kulazimishwa,najikuta tu inabid nioe,..
Ushaur tafadhal wanajamv,..nmekua nikisita mda mref,umr wangu ni under 30 n not below 27,..