Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,436
Wanabodi
Asubuhi yenu ikoje?
Kuna mdada amesahau ........ wakati anashuka kutoka MWENDOKASI ya ...... , around 7.45am, huyu dada alikaa siti za. Na ameshukia maeneo ya DIT na huenda akawa mtumishi ofisi za maeneo hayo!
Ewe dada ile nanii yako iko salama!
Nimeokota hiyo..... Na mbele ya macho ya abiria wote nimemkabidhi dereva wa MWENDOKAS hiyo na kumfahamisha kuwa mwenye yake anaweza kuifuatilia gari na ampatieI namba za MWENDOKASI ni .....!
Kama kuna atakaemuona ama kuskia mhanga wa tukio huko maofisini na mitaani kwenu, tafadhali nipo tayari kutoa msaada!