Mbagala Dar: Ajali mbaya kati ya daladala na gari ndogo

Mbagala Dar: Ajali mbaya kati ya daladala na gari ndogo

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,298
Gari ya abiria imegongana na gari ndogo na kuingia mtaroni.

Siwezi kuelezea sana subirini taarifa za habari maana nimeogopa kuangalia sana
b083ac7eb19d8af136dba1bb3829bdc9.jpg
968c6d812fa07f2b63a89e42294491f3.jpg
a049f46c24bd5898b3bc8f8491c68f0e.jpg
1230f0d58f86f0e16d11de8525b522aa.jpg
d2a3f113b5a47e705c99d5e60f503bde.jpg
9bdbcbbe28932e77c03f25a157fe7ff2.jpg
0e4967ae16785ed9499ffae336efdb5a.jpg
c6236a30c2339e73c9ac86f970a9a93a.jpg
 
Uyo mwenye singland (kaosh) ya mistari wenzie wako busy kuokoa yeye anaphotoa tu
Poleni vipi majeruhi au vifo??
 
Asante kwa taarifa mkuu ila punguza uoga. Kama unashindwa kuangalia utaweza kuwasaidia majeruhi kweli?
 
Ukitaka kujua jinsi daladala wanavyokera endesha gari hapa dar utaona namna madereva hawa vituko wanavyofanya
 
Mungu awajaalie majeruhi. Na imani hakuna aliyekufa.
 
Misala ya jumapili hii..week inakua imeharibika kabisa
 
Mapepo ya 2018 yalipitiwa na usingizi ila sasa naona yameamka na kuanza Kazi yao ' mdogo mdogo ' kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom