Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 744
Husika na kichwa cha habar
Kumekua na malalamiko na tuhuma nyingi sana juu ya TMT hususan kwa wale ambao walijoin kuichangamkia fursa.
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusu hiyo TMT, mengi yameshaulizwa na kujibiwa ila machache ndio bado.
Ni ipi maana au kirefu halisi cha TMT? katika kumarket product yoyote bila kuzingatia brand/trade names mara nyingi mzalishaji/msambazaji hufeli. Hii TMT ilikuwepo kabla ya yy kuintroduce Forex lesorn/training au TMT imeanzishwa kwa ajili ya Forex leson?.
Mara nyingi jina la kitabu husaidifu yaliyomo. Kwa namna upepo unavyokwenda sasa basi mtu akitokea ghafla na kuniuliza nini maana/kirefu cha TMT ningemjibu ni `TRICKY MAN with TACTICS'