Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Miaka ya nyuma kulikua na talent search nyingi kama Bongo Star Search, sijui ile ya Masoud alikua anawajaza watu vijijini, mara Bibi Bomba, sijui makorokoro gani hua zinafia wapi?
BSS ilikua na future nzuri ila mahakimu wake hawakua serious, ukiangalia talents search za wenzetu wako serious sana, hata kama mtu anaimba hovyo hovyo wanampa attention inayohitajika, lakini haikua hvyo kwa BSS, salma na wenzake walikua na mizaha sana.
Anyway, hizi mambo hua zinafia wapi?