Akiwa mmoja wa wazazi wako ni kiongozi juu utakumbana na haya

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Kama nilivoanza kijana alikumbana na mitihani mingi biashara madawa kuleya yeye ,tajiri wa maroli yeye,ooh mabasi yote green star ya kwake anahisa kwenye migodi yeye na mengine mengi wazungumzaji ni watu wa upande wa pili. Leo babake kastafu uongozi na hadithi sijui zimeishia wapi.kumbe nchi hii wanasemwa watu wakiwa kwenye uongozi wa juu tu ukitoka na yako yametoka.
Pole Riz hatukujua.
 
sasa kwa vile watu hawamsemi ndio inaondoa ukweli wa ukwasi wake
rizmoko alikuwa mwizi kama wezi wengine..sasa hivi kamenyali kama simba mtoto kuogopa kushughulikiwa
 
Hakuwa na kitu Ridhiwani basi majungu ya watanzania ndiyo zetu
 
Kama nilivoanza kijana alikumbana na mitihani mingi biashara madawa kuleya yeye ,tajiri wa maroli yeye,ooh mabasi yote green star ya kwake anahisa kwenye migodi yeye na mengine mengi wazungumzaji ni watu wa upande wa pili. Leo babake kastafu uongozi na hadithi sijui zimeishia wapi.kumbe nchi hii wanasemwa watu wakiwa kwenye uongozi wa juu tu ukitoka na yako yametoka.
Pole Riz hatukujua.

Mbona Jesca haandamwi?
 
Back
Top Bottom