Ningependa kuyajua maadili ya kitanzania

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,494
Kila jamii ina maadili yake....yapi hasa ni maadili ya kitanzania?
 
Tanzania tuna makabila zaidi ya 100, pamoja na mgawanyiko huu wote tunawasiliana kwa lugha ya Kiswahili.

Ingawa tumegawanyika lakini tabia za kikanda zinafanana. Kanda ya Pwani ina ushawishi mkubwa kutoka kwenye jamii ya Waarabu kwani tuliishi nao kwa miaka mingi.

Maadili:
Mkubwa unaanza kumsalimia ukiwa mdogo kwa neno 'shikamoo '

Mgeni napokutembelea lazima apate riski.

Unapoolewa ukweni ni kwenu.

Watoto hufuata ubin wa baba yao kama mahari ililipwa.
 
vimini na viduku havihusiki??
 
Hukusoma uraia darasa la 5 au maarifa ya jamii?
 
Back
Top Bottom