Tujihadhari na wachungaji/Manabii/Mitume wa uongo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
12,858
28,834
Salama JF,

Ninaandika uzi huu nikiwa na masikitiko kwa ndugu zetu waliokosa maarifa na kuzidi kuangamizwa na haya mashetani.

Watumishi hawa wamekuwa matapeli kiasi cha kusababisha umaskini kwa familia nyingi pamoja na ndoa kibao kuvunjika.

Wanawake wengi ndo wahanga wakuu wa hili tatizo. Nakaribisha maoni yenu jinsi ya kupambana na hawa manabii feki.
 
Salama JF,
Ninaandika uzi huu nikiwa na masikitiko kwa ndugu zetu waliokosa maarifa na kuzidi kuangamizwa na haya mashetani. Watumishi hawa wamekuwa matapeli kiasi cha kusababisha umaskini kwa familia nyingi pamoja na ndoa kibao kuvunjika. Wanawake wengi ndo wahanga wakuu wa hili tatizo. Nakaribisha maoni yenu jinsi ya kupambana na hawa manabii feki.[/QUOTwanawake gani bhanaa mmezidi kutusakama aghrrrrrrrrrrrr
 
manabii/mitume wamekuwa janga kama suala la network marketing ya kina forever living, gnld n.k
 
aisee nimebahatika kuwafahamu kama hawa manabii 10 kwa karibu

wanzinzi balaa kuna waganda wawili na wana ndugu yao mmoja wanahubiri dini ila nyuma ya pazia ni balaa asubuhi flora mchana mwanahawa jion zuhura mmmh na komanya marehemu mmmh na wengine weeengi i realy hate hayo makanisa ya kiroho na pia wengine wanatumia ndumba ili wapate sadaka
.......
 
Hii mada imeletwa mara nyingi sana hapa jukwaani na Mshana Jr tafuteni muone alichoshauri kuhus haya medhehebu ya kiroho.
 
Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao .Mathew 7:15-29
 
Kuna mmoja mwanamke anaitwa apostle marry. Yeye na mumewe wote manabii.

aisee nimebahatika kuwafahamu kama hawa manabii 10 kwa karibu

wanzinzi balaa kuna waganda wawili na wana ndugu yao mmoja wanahubiri dini ila nyuma ya pazia ni balaa asubuhi flora mchana mwanahawa jion zuhura mmmh na komanya marehemu mmmh na wengine weeengi i realy hate hayo makanisa ya kiroho na pia wengine wanatumia ndumba ili wapate sadaka
.......
 
sitaki kabisaa kwakweli
Nafikiri walikuingiza mkenge kwanza, hawa jamaa wako smart sana na lengo ni grap pesa za wajinga. Mara oooh unajambo zito unatakiwa kutoa lak kadhaa uombewe, mara panda mbegu, mara komboa ardhi...
 
Nafikiri walikuingiza mkenge kwanza, hawa jamaa wako smart sana na lengo ni grap pesa za wajinga. Mara oooh unajambo zito unatakiwa kutoa lak kadhaa uombewe, mara panda mbegu, mara komboa ardhi...

sijawahi ingizwa mkenge na na hao mabazazi ni
kwasababu sijaathirika kisaikolojia kutokana na matatizo ya dunia hii( maana ukichunguza wengi waendao huko wanahadaiwa kwa ajili ya matatizo ama ya ndoa au mengineyo)

hata kanisa langu lenyewe la katoliki naenda kwa mbinde ije kuwa kwa tanganyika packers kukaa uwanjani zubutu hakuna mbegu na panda aloo sorry:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:
 
Back
Top Bottom