Riadha jr
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 567
- 334
Wakuu za saizi
Mara nyingi katika pitapita zangu za mitandaoni kwa kujipatia yaliojiri kupitia ukurasa wa mdogo wangu, kamanda Yeriko Nyerere, anaejiita mwana siasa na mwaandishi.
Hutumia nguvu nyingi kukosoa vitabu vya imani za waumini wa dini zetu kuwa ni simulizi za waarabu na wazungu na kuanza upotofu, je wana CHADEMA si mlianza na Mungu mtamalizia na Mungu?
Je ndio uongozi tunao utegemea CHADEMA, wa kukashfu imani za watu!!! Kwake imekua tabia hamuoni kuwa hili litakuja kuwa laana kwenu?