Aibu ipi unazungumzia?Nilienda kumloga jamaayangu usiku nikachemka nilipokutananae keshoyake nikaonaaibu.sikomoja niliopoa malaya nilipokutana sikuona aibu malaya naealikua nafuraha
Ni matukio mawili tofauti kabisa.. Halafu yeye ndio mtenda.. Nimekosa jibu kwakweliMajibu anayo Mshana jr
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hujakubuhu kwenye fani yako kama Malaya alivyokubuhu..ukikubuhu hutoona aibu
Kaka hivi hakuna mtaalamu huyu Ngosha tumpige tuta maisha ni magumu sana aiseeNi matukio mawili tofauti kabisa.. Halafu yeye ndio mtenda.. Nimekosa jibu kwakweli
Tayari watu wameshafanya yaoKaka hivi hakuna mtaalamu huyu Ngosha tumpige tuta maisha ni magumu sana aisee
Nafuu kakaTayari watu wameshafanya yao
hii picha muitoe jamani hii lazima iwe chuki binafsi!!! Hata kama alitembea naye sio haki kumdhalilisha kama ni MalayaModerator hii picha isijekua ni chuki binafsi na kudhalilishana...kama vp muitoe
Tayari watu wameshafanya yao
ni pm hapo walipofanya yao unitoe wahkaTayari watu wameshafanya yao
hajakubuhu..nilikua sehemu flan MTU akagongwa gari..bibi mmoja akawa anakimbilia eneo LA tukio kwa furaha..akidai 'afadhali wale nyama kwani ni muda hawajala'Mchawi ni mnafiki na anakufanyia mambo ya ajabu sana bila wewe kujua..so akikutana nawewe lazma aone aibu akikumbuka anachokufanyiaga... Malaya yeye anafanya kwa ridhaa
Jamaa ni mnyasa flani hivi mpaka kuweka hizoModerator hii picha isijekua ni chuki binafsi na kudhalilishana...kama vp muitoe