Mfuatano wa mabalaa: Mungu anatupiga kofi wanyonge?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,682
Reaction score
140,333
images (1).jpeg

images.jpeg

Nimetumia jina wanyonge kwa kuwa ndio jina tunaloitwa na kujiona linatufaa. Watanzania wanyonge.

Mwaka uliopita tukakumbwa na tetemeko la ardhi Bukoba, majeraha hayajapona bado kuna wanyonge wanaishi vibandani japo tuliwachangia.

Baadae kidogo tukakumbwa na ukame wa kufa mtu. Mvua haikuwa ya maana sana, mazao tukavuna kidogo na kukawa na njaa ya hapa na pale.

Safari hii kuna maeneo yamepata mvua nzuri na mazao kustawi kumeingia balaa la viwavi jeshi. Wadudu wanakula mahindi na pamba vibaya sana.Ukiwakuta leo, ukirudi kesho unakuta wameswaga shamba zima.

Kuna wanyonge wamepigwa shamba zima. Bahati mbaya serikali ya mnyonge mkuu haina hata Sera ya kupambana na majanga kama haya. Jana niliona kwenye Tv mkuu wa wilaya akiwaambia wakulima waweke majivu.

Huu mfuatano sio mzuri. Tujitafakari isije kuwa tumepigwa kofi
 
Majivu??? Si wangechoma moto tu au wangemwagia mafuta ya taa.
Ila in a serious note hili la majivu lina sound kama last kick of the dying horse.
 
View attachment 683896
View attachment 683897
Nimetumia jina wanyonge kwa kuwa ndio jina tunaloitwa na kujiona linatufaa. Watanzania wanyonge.

Mwaka uliopita tukakumbwa na tetemeko la ardhi Bukoba, majeraha hayajapona bado kuna wanyonge wanaishi vibandani japo tuliwachangia.

Baadae kidogo tukakumbwa na ukame wa kufa mtu. Mvua haikuwa ya maana sana, mazao tukavuna kidogo na kukawa na njaa ya hapa na pale.

Safari hii kuna maeneo yamepata mvua nzuri na mazao kustawi kumeingia balaa la viwavi jeshi. Wadudu wanakula mahindi na pamba vibaya sana.Ukiwakuta leo, ukirudi kesho unakuta wameswaga shamba zima.

Kuna wanyonge wamepigwa shamba zima. Bahati mbaya serikali ya mnyonge mkuu haina hata Sera ya kupambana na majanga kama haya. Jana niliona kwenye Tv mkuu wa wilaya akiwaambia wakulima waweke majivu.

Huu mfuatano sio mzuri. Tujitafakari isije kuwa tumepigwa kofi
Sasa hivi mnaombea mabaya tu
Shamba la mtu mmoja au wawili kupata wadudu sio janga,wizara ya kilimo ina indicators zake za kutangaza janga au baa la njaa
Wakati mkapa anaingia,ulikua shule enzi zile,paap mv bukoba watu 2,000,moto mbeya watu 60,mara mahabusu mbeya 20,,ilikua mfululizo tu,kikwete aliingia na ukame mabwawa yakakauka ikaletwa Richmond tunalia mpaka leo.
Magufuli hajatangaza balaa lolote ameshakata miaka miwili,mwaka jana chadema na ACT mlitangaza baa la njaa la kufikirika,mkasema kuna tani 9000 tu za akiba ya chakula,na Mungu azidi kutuepusha na balaa
 
View attachment 683896
View attachment 683897
Nimetumia jina wanyonge kwa kuwa ndio jina tunaloitwa na kujiona linatufaa. Watanzania wanyonge.

Mwaka uliopita tukakumbwa na tetemeko la ardhi Bukoba, majeraha hayajapona bado kuna wanyonge wanaishi vibandani japo tuliwachangia.

Baadae kidogo tukakumbwa na ukame wa kufa mtu. Mvua haikuwa ya maana sana, mazao tukavuna kidogo na kukawa na njaa ya hapa na pale.

Safari hii kuna maeneo yamepata mvua nzuri na mazao kustawi kumeingia balaa la viwavi jeshi. Wadudu wanakula mahindi na pamba vibaya sana.Ukiwakuta leo, ukirudi kesho unakuta wameswaga shamba zima.

Kuna wanyonge wamepigwa shamba zima. Bahati mbaya serikali ya mnyonge mkuu haina hata Sera ya kupambana na majanga kama haya. Jana niliona kwenye Tv mkuu wa wilaya akiwaambia wakulima waweke majivu.

Huu mfuatano sio mzuri. Tujitafakari isije kuwa tumepigwa kofi

Acha ujjinga mwenyezi mungu haonei mtu
 
unataka laana iwepo Mara ngapi mkuu

UWEPO WA CCM MADARAKANI HAPA NCHINI I LAANA TOSHA
siwaona mmeambiwa muweke majivu tena nakiongozi mkuu wa wilaya..
 
View attachment 683896
View attachment 683897
Nimetumia jina wanyonge kwa kuwa ndio jina tunaloitwa na kujiona linatufaa. Watanzania wanyonge.

Mwaka uliopita tukakumbwa na tetemeko la ardhi Bukoba, majeraha hayajapona bado kuna wanyonge wanaishi vibandani japo tuliwachangia.

Baadae kidogo tukakumbwa na ukame wa kufa mtu. Mvua haikuwa ya maana sana, mazao tukavuna kidogo na kukawa na njaa ya hapa na pale.

Safari hii kuna maeneo yamepata mvua nzuri na mazao kustawi kumeingia balaa la viwavi jeshi. Wadudu wanakula mahindi na pamba vibaya sana.Ukiwakuta leo, ukirudi kesho unakuta wameswaga shamba zima.

Kuna wanyonge wamepigwa shamba zima. Bahati mbaya serikali ya mnyonge mkuu haina hata Sera ya kupambana na majanga kama haya. Jana niliona kwenye Tv mkuu wa wilaya akiwaambia wakulima waweke majivu.

Huu mfuatano sio mzuri. Tujitafakari isije kuwa tumepigwa kofi

Tujitafakari na :
"Tuhuma ni tuhuma tuu... Lakini kwangu tuhuma zisizothibitika wala kuthibitishwa zinabaki kuwa uzushi.... Na mimi sina kaliba na uzushi.... Sijui nini kilinipelekea kukumbuka riwaya ya Ngoswe... PENZI KITOVU CHA UZEMBE... Dah nikayakumbuka ya kudamka alfajiri na mapema kwenda kule kilimani kumuona cheupe dawa... Si adhabu hii jamani... Mateso bila chuki... Kiroho safi kabisa... Hongera mzee baba... Hongera cheupe....

Kuna wale wazee na kawimbo kao kalikokosa udhamini wa kuingia studio... Naambiwa singo yao ile haikidhi vigezo... Kale kawimbo ka MATEMBELE NI MATAMU.... Kweli Ngoswe aliona mbali... Na mtunzi wa MATEMBELE aliona karibu....".......MshanaJr

Biblia inasemaje kuhusu hili
 
Back
Top Bottom