Money is a True friend in the Shithole countries

Money is a True friend in the Shithole countries

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,711
Reaction score
8,764
Ukiwa na hela katika Nchi za kiafrica basi utaishi vizuri sana

Hasa hapa kwetu Tz

Rafiki hela atakufanya
[emoji117]Uheshimike kwa wakubwa na wadogo

[emoji117]Rafiki hela atakufanya umiliki demu/mke nzuri

[emoji117]Rafiki hela atakufanya umiliki biashara,gari na nyumba nzuri

[emoji117]Rafiki hela hatakuacha ufe kikondoo pale unapolazwa na kukosa matatibu,so rafiki pesa atakupigania upate tiba stahiki.

[emoji117]Rafiki hela atakufanya uwe na amani ya nafsi

Money,mkwanja,pesa,fedha,njuruku,dolali ,Uro.
 
One day u gonna realize money is not everything
 
Back
Top Bottom