Suala la maji katika mtaa wa shamaliwa kata ya igoma wilaya ya Nyamagana limekuwa tatizo sugu, maji hayapatikani karibu miezi 2sasa na umbali wa kutoka zilizo Pampu za maji hadi mtaa huo ni km 10...
Hello guys.
i think kwa dar, masaki is the best place, tena kwenye street ambayo impepigwa lami, nzuri, na imetulia kimyaaa, jirani hakufahamu, na ww haumfahamu jirani yako. Unatoka zako kimya...
Wakuu naombeni kwa aliyewahi kwenda huko anipe maelezo ya ziada
ni mambo gani ya kutahadhari, sifa na miji na ukarimu wa watu wake
na asisahau kunieleza kuhusu hali ya amani ya nchi hiyo...
Habari wadau!
Leo nimetulia home, ghafla nikapewa taarifa kuna wadudu wadogo weupe wanaotambaa wanatoka kwenye sinki la choo, hii hali imeanza kama wiki hivi, naombeni mawazo hawa wadudu...
MWISHONI mwa mwaka jana, Rais John Magufuli alizindua Hospitali ya Taaluma na Sayansi ya Tiba (MAMC) maarufu kama Kampasi ya Mloganzila, hatua iliyoashiria kuanza rasmi kutumika kwa hospitali...
Mwanamume mmoja katika jimbo la Machakos nchini Kenya ameshtakiwa na kosa la kufanya tendo la ngono na mbuzi wawili.
Inadaiwa kuwa mwanamme huyo aliwaua mbuzi hao wawili baada ya tendo hilo...
Nimeshuhudia baadhi ya vituo vya Polisi Mkoani Geita nilipokuwa huko hivi karibuni na kushangaa sana jinsi wanavyo hudumia wateja wao (sizungumzii wahalifu) katika hali ya vitisho,unyanyasaji na...
Baadhi ya wananchi ambao wamejiunga na bima ya afya katika halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe wamelalamikia wauguzi kwenye vituo vya afya vya halmashauri hiyo kuwabagua wagojwa wanaokwenda...
Wahenga mnayakumbuka haya mabasi wakati wa ujana wetu?......hahahaa kama namuona mh Sugu kwa upande mmoja na laigwanan kwa upande mwingine. Kiukweli old is gold!
Baada ya kuzidiwa na mwenzake katika Ugombeaji wa ' almasi ' kubwa ya Mtaa wa Kariakoo sasa Tajiri wa Mbagala inasemekana ameingia katika ' bifu ' kali na zito la Kibiashara na Tajiri mwenzake...
Mimi ni wakala wa Maxmalipo na Selcom. Kusema kweli huduma za Maxmalipo zimekuwa ni hafifu na dhaifu sana ukilinganisha na Selcom. Mfano unapo nunua umeme kwa njia ya Selcom hadi raha. Ukiandika...
Habari zenu wakuu,
Nikimbie moja kwa moja kwa tatizo langu. Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana...
Mpaka sasa hivi yeye Tundu Lisu ndiye anayeongea na wala sijasikia official statement yoyote ktk chadema kwamba wako naye na yale alioyaongea ndiyo msimamo wa chadema!
Hivyo nionavyo mimi chadema...
Mpaka lini Watazamaji wa Clouds tv tutakuwa kila siku tunaangalia tu Vipindi vikiwa vinaendeshwa au vinarushwa katika Ofisi za ' Bosi ' wao Mkuu na Mmiliki Joseph Kusaga? Inafika muda unawaona...
Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la Califonia hapo jana liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja baada ya kugonga uzio wa kutenganisha barabara.
Sehemu...
Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la California hapo jana liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja baada ya kugonga uzio wa kutenganisha barabara...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu,
Huku kwetu imekuwa ni lazima hata mtumishi wa serikali kutoa mchango wa kijiji wakati mimi ninavyofahamu mimi nakatwa kodi katika mshahara wangu...
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% na 20% for fuel (ethanol) and for export. Inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za mahindi hupelekea akili kuwa pumbafu (kulala) hivyo...
Sio kwa sababu wewe ni kijana una nguvu na afya njema haina maana kwamba kifo hakipo kwa ajili yako kifo hakina kikwaza cha umri daima unapaswa kuwa tayari na kifo
Mwenyezi mungu (Allah )...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.