Tumkumbuke mola wetu

Tumkumbuke mola wetu

RamaQ

Senior Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
136
Reaction score
115
Sio kwa sababu wewe ni kijana una nguvu na afya njema haina maana kwamba kifo hakipo kwa ajili yako kifo hakina kikwaza cha umri daima unapaswa kuwa tayari na kifo

Mwenyezi mungu (Allah ) anasema

Marejeo yenu ni kwa mwenyezi mungu tu naye ni muweza wa kila kitu(Quran 11:4) huu ni ukumbusho kwa wanaokumbushika haya ni mawaidha kwa wanakubali kuwaidhika )Ee mola wetu tupe katika dunia mema na katika akhera mema na tukinge adhabu ya moto ewe mola mwenye kupindua nyoyo thibitisha moyo wangu katika Dini yako eee Allah mwenye kugeuza nyoyo zetu katika utiifu wako eee Allah tujalie mwisho mwema

Amin Amin Ya Rabby
489ab4cca699f52bb02ee41e278cea8d.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom