incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,534
- 4,293
Habari zenu wakuu,
Nikimbie moja kwa moja kwa tatizo langu. Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana imani ili kuepusha lugha za fedhuli, Dharau, maudhi na Matusi.
Naomba kuuliza kwa wale tunaoamini kuwa uchawi na uganga vipo na vinatumiwa na wanajamii.
Wakuu swali langu lipo hivi kuna madhara gani ninaweza kukutana nayo iwapo nikitengenezwa na mtaalamu kuwa na uwezo wa kuwaona wachawi wakija kuniwangia hasa mida ya usiku?
Au kuwa na uwezo wa kuwagundua mara tu nikikutana nao??
Naombeni majibu kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo kama huamini tafadhari pita kushoto