serengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 486
- 362
Suala la maji katika mtaa wa shamaliwa kata ya igoma wilaya ya Nyamagana limekuwa tatizo sugu, maji hayapatikani karibu miezi 2sasa na umbali wa kutoka zilizo Pampu za maji hadi mtaa huo ni km 10 tu, mabomba yetu hayatoi maji, wananchi wanahangaika, idara ya maji mko kimya, Naomba mfatilie hili jambo maana Tulalipa Pesa, maji hayatoki lakini service charge Tulalipa, Mnatupa usumbufu sana lifanyieni kazi suala la maji, huku kwetu shamaliwa 'A' ni shidaaa.