Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la polisi mkoani Tabora linamsaka kwa udi na uvumba mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Michael Mabula,aliyetoroka baada ya kupiga kwa mchi wa kutwangia mtoto aliyekuwa amebebwa na mama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Morogoro. Mgogoro wa kugombea mradi wa maji kati ya wananchi wa kijiji cha Fulwe na Bamba wilayani Morogoro umeingia katika sura mpya baada ya baadhi ya wananchi wa Bamba kuingia kwenye chanzo cha...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mtoto mdogo amekamatwa na polisi akiwa chini ya basi la Sante Rabi lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Arusha lilipofika kituo cha mkoa wa Shinyanga. Askari wa ukaguzi wa magari kama kawaida yao...
14 Reactions
118 Replies
14K Views
Niliamua kuhama kutoka kingamuzi flani hivi ambacho pakiwepo mawingu kinaanza ku scratch na mnvua ikinyesha maji huenda yakaingia kwenye lmb (kile kidude kidogo juu ya dish) kinakataa kufana kazi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo wakati napata chakula cha mchana katika mgahawa fulani hapa jijini alikuja kijana mmoja kukaa katika meza niliyokuwepo baada ya kuniuliza na mimi kumwambia anaweza kukaa tu maana hakuna mtu...
0 Reactions
2 Replies
904 Views
Kwa watumiaji wenzangu wa Azam Tv, mimi daima nalipa kifurushi cha Azam pure ambacho kwa sasa ni Tsh 18,000/=. Sasa mwezi uliopita nikaona nijikakamue nilipe kile cha juu cha Tsh. 28,000/=...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Familia ya Mstaafu wa Shirika la TAZAMA Pipeline, Samwel Nyakirang’ani, Mkewe Nyangi Mataro na wenzao watano wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kutoboa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua...
16 Reactions
79 Replies
6K Views
Yaani kuna watu wengine sijui wapo vipi kwenye hii dunia, ni hivi wakuu kuna jirani yangu anaduka na nyumba zimepangana kwahiyo mara nyingi ninapokuwa na mahitaji yangu huwa naenda kwake hapo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Closed
Wakati serikali ikijaribu kuuinua mfuko wa NHIF ; Kwa kulazimisha mashirika Makubwa na Makampuni Makubwa ya Serikali kujiunga NHIF ili kuendena na sheria ya kuanzisha mfuko huo mwaka jana mwezi...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Salama JF, Ninaandika uzi huu nikiwa na masikitiko kwa ndugu zetu waliokosa maarifa na kuzidi kuangamizwa na haya mashetani. Watumishi hawa wamekuwa matapeli kiasi cha kusababisha umaskini kwa...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
IDADI kubwa ya watoto wachanga waliozaliwa kabla ya muda (njiti) wanahofiwa kufariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kukosa hewa ya oksijeni. Hewa hiyo ilikuwa...
7 Reactions
100 Replies
8K Views
Leo clouds naona mmeamua kutuletea vuvuzela la CCM kuja kutuchekesha asubuhi hii huyo mh Msukuma mbunge wa Geita ambaye anajiita msemaji wa CCM na kuna tetesi jamaa kalipia kipindi ili ahojiwe...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Kila jamii ina maadili yake....yapi hasa ni maadili ya kitanzania?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahitaji ya Wizara ya Elimu ni shilingi trilioni 1.3, sawa na shilingi bilioni 1300 kusimamia elimu nchini kwa mwaka. Hii ni sawa na shilingi bilioni 108 kila mwezi. Leo JPM kasema anatoa...
1 Reactions
2 Replies
666 Views
Hello wapendwa, Nina swali hapa nahitaji kujua kutoka kwenu, ni kuhusu wachawi na trick, ujanja wanaoutumia hadi kumfanya mtu alale usingizi mzito yaani fofofo! Naombeni msaada wetu wataalamu...
1 Reactions
90 Replies
20K Views
Wakuu habari za muda huu, Nimekaa na kutafakari yanayonisibu kwa kweli maisha ni magumu na yana stress sana kwangu mimi mfanyakazi ni hivi, je mwingine asiye na kazi wala dili za maana? -Mwaka...
1 Reactions
64 Replies
6K Views
Bado kuna vyuo vikuu vinasumbua hapa nchini, Nasikia kule Moshi kuna hiki chuo cha Mwenge hakijawapa wanafunzi pesa ya kujikimu leo siku ya kumi. Hii taarifa ni kweli? Kama kuna ukweli ulizeni...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewafukuza kazi walimu 28 baada ya kugundulika kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Sh100.4 milioni. Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Mjini Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuangalia clip hii, nimejiskia uvivu sana kuenda kibaruani. Chukua dakika kadhaa kumsikiliza kisha tujadili.
5 Reactions
113 Replies
11K Views
Back
Top Bottom