Ilipaswa mpaka muda huu tuwe tayari tuna watuhumiwa wetu lockup! Watuhumiwa wale familia 12 Tanzania kama wanafunzi wa Kristo aliyezaliwa jana. Jiulize ni kwanini mpaka sasa ziko huru na viongozi...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo, akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM, amesema Serikali inapaswa kujibu hoja kwa wakati, na pale panapokuwa na upotoshaji, itoe ukweli...
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta...
SUALA LA MIKOPO KWA VIJANA CHINI YA WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA BADO NI CHANGAMOTO
Ngome ya Vijana ACT Wazalendo tumeona inayoitwa orodha ya wanufaika wa maombi ya mkopo kupitia mfuko wa...
[emoji3544] TAHADHARI: USIINGIE KWENYE MTEGO HUU WA MKOPO WA MTANDAONI
Matapeli wamebuni njia mpya ya kuiba taarifa na pesa zako kwa kutumia jina la Tigo na Mixx by Yas. Usikubali kudanganyika na...
Kwa sababu watu kustaafu inasemekana ni miaka 60 basi kila mtu huwa anajisahau na kujiona kama atatoboa 60 hivi yaani mtu anajiwekea kabisa malengo ya miaka 60 ila ukweli ni kwamba kwa generation...
Kuna science ya kucheza na akili ya mwanadamu ili awe mfuasi wako na ataishia kufanya lolote kwa ajili yako na hata ukifa ataendelea kukutukuza kufanya yale ulimfundisha.
Human brain is a mystery.
Muongo mmoja wa ushirikiano na Serikali na kufanya uwekezaji wa TZS bilioni 2.5 katika miradi ya maji vijijini na SBL inaendelea kufanya uwekezaji huo.
KARATU, 30 APRILI 2026: Kampuni ya Bia ya...
Wadau,
Mbunge wa Buchosa Bw. Erick Shigongo ameibua hoja bungeni kwa kupendekeza kuanzishwa kwa mfumo wa “roll over” wa vifurushi vya intaneti, ambapo data isiyotumika ndani ya muda wa kifurushi...
Kabla ya kulala fanya mambo haya
Kabla ujalala pangilia mambo yako vizuri, iwe ni sehemu ya jiko, sebuleni, na mazingira yote weka katika usafi na mpangilio.
Pia kabla ya kulala omba kwa Mungu...
Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban...
Wakati akizungumza katika maandimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari dunia Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari...
Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu .
Pwani-wilaya ya Chalinze
Dodoma na Unguja.
Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha...
Siku moja baada ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), kutangaza kuongeza safari za treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Morogoro, kutoka mbili mpaka nne, baadhi ya abiria na wananchi wamezungumzia...