Nimeona ni vyema niliweke hili la huyu bwana Yona hapa JF, ni kwamba kumekuwa na taarifa mbalimbali zenye utata kuhusu kukamatwa kwa bwana Yona Fares Maro na polisi, kwa mujibu wa email iliyotumwa...
Nilikutana nae enzi Za kuvaa shart jeupe na suruali jeusi,viatu ama vyeusi au vyekundu, huo Ndo ulikuwa utaratibu wa joining instructions ya wakati huo, sura nyingi zilionyesha wazi wengi...
Hivi ni lazima kila mtu humu jukwaani awe mwanasiasa,hivi ni lazima kila uzi humu ndani uhusishwe na siasa watu wanashindwa kuzuia mihemko yao humu tunajua wengine mko kazini ila tunashusha hadhi...
1. We eat 7 per cent of all salt production. The other 93 per cent is used by the chemical industry.
2. The first great Roman road was the Via Salaria (salt road), leading from Rome to the...
Mimi naamini mtu anaekwambia ukweli ni mtu muhimu sana kuliko mtu ambae wakati wote anakusifia tu na kukupa matumaini kwa kila jambo
ingawa ukweli unauma lakini ndio ukweli.
kwa ukweli huu...
1. Luna 2 - Luna 2 was first spacecraft to make a
landing on the moon. Launched by the USSR on 12 Sep 1959, it impacted the surface of the moon on 14.09.1959 ....
2. Luna 3 - Luna 3 was first...
Hapo kale palitokea ukosefu wa chakula mkubwa na kusababasha njaa kali miongoni mwa wakazi wa mkoani Mwanza.
Hii ilipelekea wanaume wengi kuacha familia zao ili kutafuta chakula kutoka maeneo ya...
Hivi karibuni Rais wa marekani Donald trump alitoa kauli ambayo ilionekana ni chukizo kwa nchi za afrika na Haiti.kauli kuwa nchi za afrika ni chafu ingawa yeye alikanusha.nchi nyingi za afrika...
Huyu mzee mara ya kwanza tulikutana hapa mtaani nikiwa bado mgeni na bahasha yangu ya khaki mkononi.Ilikuwa mahala fulani napata kahawa hapa tegeta.Akanichangamkia sana halafu akaninunulia kahawa...
Familia ya mwanamuziki Nguza Vicking 'Babu Seya' imeungana na Wazanzibari kwa ajili ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Maadhimisho hayo yaliyafanyika jana Ijumaa...
Wakuu,
Nimekuwa na tabia ya kufanya mazoezi Alfajir ya saa 10 mpaka 12.
Majuma matatu yaliyopita kama siku nne mfululizo kuna binti huwa nakutana nae lile
eneo ambalo namalizia kunyoosha viungo...
Habari wana JF, nimejaza form ya kuomba visa ya US na nime submit on line. Kilichonichemsha ni jinsi ya kulipia dola 160. Instruction inasema nifungue profile online. Nilipojaŕibu inanipeleka...
Najua hili swali ni changamoto kwa watu wengi tumekuwa tukijuvunia mambo mengi kama watanzania
Sasa ikitokea ukaulizwa ni kitu gani unachojivunia katika umri wako wa sasa kama una miaka...
Utafiti mpya unaonyesha kuwa tabia ya kujipiga picha mwenyewe (selfie) na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii ni ugonjwa wa akili ujulikanao kitaalamu ‘Selfitis’ ambapo mgonjwa wa tatizo hili...
Faster faster pasipo kuwachosha ni hivi;
Rejection can give someone direction.
Tumekua rejected kule tunako amini kwamba ni kuzuri kuliko huku kwetu dark continent,
Sasa ndio muda wa sisi wachafu...
Nimeona na kusoma kwenye Mwananchi online hiki...
'Ofisa uchaguzi akihakiki majina ya mpiga kura kwenye kituo cha kupigia kura Arcu wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwenye uchaguzi wa marudio wa...
Heri ya mwakampya wadau,nashukuru kujaaliwa mwaka mwingine wa uhai
Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa...