Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanabodi Asubuhi yenu ikoje? Kuna mdada amesahau ........ wakati anashuka kutoka MWENDOKASI ya ...... , around 7.45am, huyu dada alikaa siti za. Na ameshukia maeneo ya DIT na huenda akawa...
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Kwamba maeneo ya chango'mbe dar es salaam wale wanaume wa dar wnaoendana na fashooon za kina lil uzi,21 savage,wiz khalifa za kuvaa visurual vya kubana yaani vimodo na kunyoa viduku wamepokea...
8 Reactions
180 Replies
15K Views
Gari ya abiria imegongana na gari ndogo na kuingia mtaroni. Siwezi kuelezea sana subirini taarifa za habari maana nimeogopa kuangalia sana
1 Reactions
56 Replies
13K Views
Kama nilivoanza kijana alikumbana na mitihani mingi biashara madawa kuleya yeye ,tajiri wa maroli yeye,ooh mabasi yote green star ya kwake anahisa kwenye migodi yeye na mengine mengi wazungumzaji...
1 Reactions
5 Replies
997 Views
Husika na kichwa cha habar Kumekua na malalamiko na tuhuma nyingi sana juu ya TMT hususan kwa wale ambao walijoin kuichangamkia fursa. Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusu hiyo TMT, mengi...
4 Reactions
27 Replies
8K Views
Wakuu,..naona pepo la kuoa linaniandama,yaan nmeamin usem unaosema wakat wa kuoa ukifika utaoa tuu,..mi ni boonge la bachela yaan..na nna mabint kadhaa wawil nmekua nawapima na wengne ni wa utamu...
1 Reactions
10 Replies
996 Views
Usithubutu kukosea Hata kama upo Kwa miguu! kama unajiona vyuma vimekaza kosea ukatize eneo hilo mda wowote sahivi Vitalainishwa; ............MSIJE SEMA SIKUWAAMBIA!
30 Reactions
158 Replies
15K Views
Kuna mtoto mmoja alikuwa amekuja likizo kutokea iringa kaja Dar maeneo ya tandika Davis corner.Huku Dar ndipo wazazi wanaishi, tarehe 28 ya mwezi wa 12 2017 mida ya saa 4 usiku alikurupuka kama...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu zangu sina mengi nilikuwa naomba msaada ama kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya kutuma hook sms za ****pesa Zawadi nono ipo Madhumuni c kutapeli bali nikupoza deni ni buy sometime
0 Reactions
2 Replies
668 Views
Mufti mkuu wa Tanzania Sheikhe Abubakar Zuber amewataka waislamu nchini kujitambua na kuacha mazoea/kulalamika ili kuleta maendeleo ya uislamu nchini. Ameyasema hayo leo kwenye shughuli ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ziara ya Raisi paul kagame wa Rwanda Nchini Tanzania kumepelekea makubaliano na Mwenyeji wake mhe.Raisi Jpm ya kujenga SGR kutoka Isaka mpaka kudumbukia ndani Ya Rwanda-kigali. Aya ni baadhi ya...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Waziri wa Mazingira,Waziri wa Ardhi,Mkuu wa mkoa na wilaya ya kinondoni,Mbunge wa Kawe Sisi wananachi tunaopenda kwenda kupumzika kwenye beach za wazi sasa tunazidi kuzuiwa na matajiri wachache...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Wakuu sina hakika sana kama ustadhi bado anaendelea na kufundisha tuition au laa, ila jamaa alikuwa nondo mnoo. Sijui yupoo? Nilisoma tuition ya kingereza kidato cha sita 2005_ 2006. Wengi humu...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Rais anayemaliza muda wake nchini Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, ametimuliwa katika chama chake kwa tuhuma za kutomuunga mkono mgombea wake ili amrithi. Chama chake cha Unity kinamtuhumu Bi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Miaka ya nyuma kulikua na talent search nyingi kama Bongo Star Search, sijui ile ya Masoud alikua anawajaza watu vijijini, mara Bibi Bomba, sijui makorokoro gani hua zinafia wapi? BSS ilikua na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Swali langu ni kwa nini hata Waafrika wanajali kuitwa shithole? Ile kulilia kuombwa msamaha peke yake inathibitisha sisi ni shithole, Wachina wameitwa majina mengi sana au hata Waarabu lkn...
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Ili kuifanya inchi iweze kutawalika kwa urahisi, kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu, nibora ingepitishwa sheria kuwa elimu ya juu kabisa anayotakiwa kuwa nayo mtz ni ya Awali. Kwani sasa watu ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari za Jpili Ndo kwanza tupo katikati ya januari, kwa wale tuliochelewa kupanga malengo kabla ya mwaka huu kuisha ,bado tuna refine malengo yetu ili kupambana na yatakayojiri mwaka huu ...
0 Reactions
5 Replies
858 Views
Mimi nakumbuka shule kipindi hicho umetoka zako kwenye pepa la mathe unakuta wale wataamu wa namba wanabishana swali la 9 jibu ni n-3 wakati wewe huku umepata jibu 453,897. APO NDIPO NILIKUWA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…