Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chama cha mapinduzi ccm kimemtelekeza mwanachama wake na Msanii wao Wastara Sajuki ambae aliokuwa kwenye kikundi cha Mama Ongea na Mwanao. Msanii huyo Licha ya kuwa Mlemavu aliamua kupambana ili...
8 Reactions
140 Replies
19K Views
Nani anapenda kuonyesha mapungufu? Tanzania ni nchi ambayo watu wake wamejengwa kwa hofu kuu , Hofu ya kushindwa kuifananisha Leo na kesho , Hofu ya kuhoji maswali tata yenye mustakabali mzuri Wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana kuna tetesi zinaenea kwa kasi kwamba, ktk nchi ya Msumbiji kijiji cha Nangadi, Jana tarehe 9 saa tano usiku amezaliwa mtoto. Baada tu ya kuzaliwa amefumbua macho na kuweza kuongea...
3 Reactions
170 Replies
35K Views
Jana nilibahatika kutazama habari za michezo kupitia channel hii ya televisheni. Nilijiuliza maswali mengi sana, hivi hawa ripota wa habari za michezo waliopo huko mikoani na hata hapa Dar hawana...
2 Reactions
3 Replies
925 Views
Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemhukumu mkazi wa kijiji cha Majengo Mkoani Mtwara Saidi Chindu (19) kifungo cha miaka 36 jela baada ya kupatika na hatia ya kubaka na kumtorosha mwanafunzi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili goma bana toka limeingia sokoni kwakweli binafsi naliona tofauti kabisa....sijui wenzangu mnasemaje? La zamani bhana chupa kubwa kuipiga ilikuwa hadi tonic au kalimao kidogo....ila la sasa...
11 Reactions
106 Replies
28K Views
Kuna msururu mkubwa wa magari maeneo ya Kibaigwa tangu mchana ambapo hakuna gari zinazopita katika eneo bovu la daraja na mlundikano wa magari.. Hali ni mbaya sana na traffic wamekua sehemu ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Zamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo. Kwa Marekani...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za mida hii wana jamvi?? Nahitahitaji msaada wa haraka wa kimawazo juu ya jambo hili!! Mdogo wangu wa kike anasoma chuo cha Sokoine (SUA) -Morogoro na jana mida ya saa 1 jioni wakati...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Closed
Hii ndiyo ilikuwa Oysterbay yetu watu weusi, Nyerere alipora Shamba la Mgiriki na kugeuza makazi ya high income TZ asilia kwa maana Masaki na O’ bey ni Muzungu, Upanga ni Muhindi na Msasani...
3 Reactions
74 Replies
8K Views
Niaje, Kwa maelezo zaidi sikiliza video hii
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Napata ukakasi kukubaliana na dhana ambayo hivi sasa imekuwa kubwa ya matangazo na promotion kubwa sana katika vyombo vya habari juu ya michezo ya kubahatisha. Uhamasishaji huu mkubwa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Nina swali naomba wajuvi wanidadavulie. Nimesikia wahanga wa benki zilizofilisiwa wanaweza kurudishiwa kiasi chini ya 1.5m kutoka kwenye benki ya amana. JE UTARATIBU UKOJE? Nina...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Kampuni ya Wasafi Classic (WCB), inayomilikiwa na msanii maarufu wa muziki wa Bongofleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ wanatarajia kufungua televisheni na redio Februari mwaka huu. Haya...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Baada yakujibana mwaka mzima Nilifanikiwa kusave mil 5...kwa mwaka wote 2017 ...hii nimeisave ..kitokana na shughuli zangu za building construction ambapo kwa wiki uwa nalipwa sh..laki mbili...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu miaka 3 jela ama kulipa faini ya TSh. Milioni 6 mfanyabiashara maarufu Naushad Suleiman (63) na Ali Makame (36) waliokiri kukamatwa wakisafirisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkazi wa kijiji cha Mwakisebe wilayani Chemba mkoani Dodoma amepoteza maisha, huku idadi kubwa ya watu wakikosa mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomoka na nyingine kuzingirwa na maji...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Baba mmoja jina lipo kapuni baada ya kugombana na mkewe na mke huyo kukimbilia kwa jirani ili kuokoa maisha yake kwa kumbebaMtoto mdogo wa jirani yake,cha kusikitisha Baba Huyo amejikuta...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Moto umezuka katika jengo la benki kuu jijini Mwanza asubuhi yaleo. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme. Taarifa zaidi kukujia Chanzo; ITV
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Natumaini mnaendelea vizuri na ni wazima wa afya kwa mwaka huu mpya mm ni mwanafunzi ninayeingia kidato cha tatu mwakani na ninaamini nitafaulu kwa ufaulu mzuri lakini sins ada wazaz...
2 Reactions
126 Replies
12K Views
Back
Top Bottom