Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

*We are not obliged, even for a second, to try to prove to anybody and especially to blacks and Arabs that we are superior people - we have demonstrated that to the black and Arabs in 1001 ways.*...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wauzaji nyama nchini Uganda pamoja na wateja wao sasa wanategemea nzi kama kielelezo cha kuangalia ubora wa nyama inayouzwa kwenye maduka husika. Hii inafuatia operesheni inayoendeshwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa WanaJF Katika kitabu cha ufunuo 5:1-14 imeweka bayana kuhusu Mungu na kufunua uongo wa ile nadharia inayodai kuwa Baba ndiye Huyo huyo Mwana na kwamba ndiye huyohuyo Roho. Kitabu cha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Napenda kujua iwapo mtu kama ataacha kazi leo na alikuwa amejiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii LAPF,je atalipwa pesa yake ya fao la kujitoa? Tumeshauriana na mke wangu aache kazi ili tuimarishe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, huyi mtumishi anaaminika na watu wengi sana hapa nchini. Kusema kweli anao wafuasi wengi sana wa madhehebu na dini mbalimbali. Ila leo nimemsikia na kuniacha hoi alipodai alikwenda...
22 Reactions
416 Replies
56K Views
Jana nilijaribu kufanya biashara na mtu kupitia kupatana akaniletea mzigo samsung j7 prime full boxed, sasa bei ilikuwa 300k nikawa na shaka, na kweli simu mpya! Nikamwambia mshikaji naomba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakumbuka miaka ya mid 80's haya mabasi yalitamba na kutawala sana line ya Rombo Marangu Moshi Arusha na hata Dar. Mwenye kumbukumbu atukumbushe hawa wataalam waliishia wapi. Sababu kwa miaka ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika nchi mbali mbali Duniani, na Tanzania ikiwemo, pamekuwa panatokea misuguano ya hapa na pale; Vyombo husika vya serikali vikitaka kuonyeshwa MAPATO na MATUMIZI ya pesa zinazokusanywa (a.k.a...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanahabari habari za leo Kwanza nawashukuru kwa kuitikia wito huu wa kukutana na kuzungumza nanyi kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kuhusu chaguzi za CCM pamoja na malalamiko ya wanaccm...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati...
19 Reactions
179 Replies
28K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro amekutana na Mkuu wa jeshi la Polisi la Msumbiji, Bernadino Raphael na kupanga na kushirikiana kudhibiti uhalifu kati ya nchi hizo mbili...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ujenzi wa barabara ya njia sita kuanzia Kimara hadi Kiluvya, unatarajia kuanza mwezi ujao pindi mkandarasi atakapopatikana. Nyumba takribani 2,000 zilizokuwa zimejengwa ndani ya mita 121.5 ya...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mheshimiwa pole na majukumu yako ya kila siku ya kulitumikia taifa ila huku kwenye jimbo lako kuna mambo hayajakaa sawa. Kata ya Ndala ndio kata kubwa kuliko kata zote kwenye jimbo lako hoja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The greatest relationship in the world is the bond you share with yourself. You are your greatest asset. You are fully responsible for the way you treat yourself. And also the way you let others...
0 Reactions
2 Replies
653 Views
Walimu wakuu wa shule 3 za wilayani Muheza mkoani Tanga wamekamatwa na jeshi la polisi kwa kuchukua fedha, kwa ajili ya kuwaandikisha wanafunzi wa darasa la awali na la kwanza katika shule hizo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HERE ARE THE THINGS TO OUTGROW TO LIVE A SUCCESSFUL LIFE! Eventually, you will have to outgrow certain things that prevent you from making progress. Things that falls within your circle of...
2 Reactions
7 Replies
706 Views
Kama swali lilivyo ulizwa, naomba msaada nina amini kupitia humu ntapata msaada mzuri wa ushauri. Kati ya vingamuzi hivi via 3 1. Azam tv 2. Sartimes tv 3. Zuku Tv Kipi kina ubora wa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Babati. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara, Hamis Malinga amewashusha vyeo walimu wakuu 28 wa shule za msingi na waratibu 10 wa elimu wa kata. Amechukua uamuzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina wasi wasi kuna watu wanaweza kumdhuru kwani sikutegemea kitendo kidogo kama cha yeye kukutana na Raisi wetu kingeumiza watu namna hii, hivyo naishauri Serikali yetu imuongezee ulinzi Waziri...
1 Reactions
2 Replies
901 Views
AZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka viongozi wa dini nchini kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanahifadhi vyema mapato ya fedha na kuyaweka wazi kwa waumini ili...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Back
Top Bottom