Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
Hodi wanaJF
Nataraji hatujambo :
Hivi kuna uhusiano gani Kati ya kuwa mwanaharakati na kuwa kiongozi (kushika madaraka ya nchi) au unaweza kuwa mwanaharakati afu ukashindwa kuongoza nchi ???
Nini kitangulie Kati ya masilahi ya chama kwanza na masilshi ya wananchi/taifa?? Je,Tanzania na viongozi wake wanatanguliza kipi hasa Kati ya hivo hapo juu?
Welcome all kwa mawazo yenu wakuu