Nina hell kuliko serikali ndani Na nje ya nchi

Nina hell kuliko serikali ndani Na nje ya nchi

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,336
Mzuqa wanajf

We are ending the year in style. Kwaanzia Makinikia, expanshen joint. Tumedhihirishiwa kabisa watu wataalam wa kukariri wanafosi Hadi PhD wanapata. Imetukatisha Hadi tamaa wengi wetu tuliotamani kujiendeleza kielimu tumeamua kukomaa Na vyeti tu.

Nimeamua kujitangaza hadharani nina hela kuliko serikali Yani utitiri.

Taifa lenye watu wa ajabu sana.

[HASHTAG]#KutubuKupoPalepale[/HASHTAG]
 
Hivi unaongea Vipi kauli kama ile kwa watoe sadaka wako ilhali wengi wao ni maskini
 
Back
Top Bottom