Tuwe wastarabu tukienda vijijini kwetu jamani

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,119
Watu Vijijini wapo bize mwaka mzima wanalisha mbuzi na ng'ombe majani na wewe upo mjini mwaka mzima unalisha mademu chips kuku na bugger halafu mwisho wa mwaka unarudi bush unataka kuchinja mbuzi.
Hapana asee hii haiwezi kuwa sawa, kila mmoja achinje kile alichokuwa analisha.
 
Mkuu ww si mtu mzr kabisa,sasa kama kila mtu akichinja alicholisha mademu wote si watachinjwa halafu wenzio watapata wapi papuchi?
Na wew umekuja bush siku mbili tu unataka kutumalizia mifugo yetu na vitoweo tulivyohangaika navyo mwaka mzima!!!!!
 
Pesa ipo hachinjwi mbuzi bure kula uliwe sio unategemea wa mjini watoe pesa kisha uache kuwachinjia hata ka bata
 
Ni Huko Kwenu Tu Sisi Tuko Mjini Kijijini Tunawekeza Kilimo Na Ufugaji So Nikirudi Bush Nachagua Jogoo Wa Kuchinja Au Mbuzi Tusipangiane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom