AIRTEL

AIRTEL

Rajab o Rajab

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
9
Reaction score
2
Mambo vp wadau hivi mtandao wa airtel una kifurushi cha sms? tu kama ilivyo kwenye voda yaan sh. 1500 sms bila kikomo mwezi mzima. na kama ipo kwa airtel naomba kujua namna ya kununua
 
Mkuu hamna, labda uamie Voda kama unahitaji hivyo.
 
Airtel kuna bando ya kupiga mitandao yote dk 350, SMS 1000 kwa mwezi kwa sh.10,000. Ni nzuri kuliko mitandao mingine yote.
 
Back
Top Bottom