Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema daktari wa Hospitali ya Milembe mkoani humo amethibitisha kuwa Tito Machibya maarufu kwa jina la Nabii Tito ana tatizo la akili...
Inaingia vipi akilini kuwa Television ya Taifa/TBC ambayo ina unlimited budget na resources za video zake zina kiza na mwingu lakini video zinazotolewa na huyu kijana Millard Ayo ambaye videos...
Wakuu za saizi
Mara nyingi katika pitapita zangu za mitandaoni kwa kujipatia yaliojiri kupitia ukurasa wa mdogo wangu, kamanda Yeriko Nyerere, anaejiita mwana siasa na mwaandishi.
Hutumia nguvu...
Habari wana jukwaa..!
Baada ya kukaa kwa muda mrefu kidogo bila kupost thread nimejihis kuwa na kiu na shauku ya kupost chochote Ili kukata kiu yangu, bila kuzungatia maudhui ya uzi huu ila lengo...
Wadau naomba tujadili hili!
Mabasi yote ya New Force kwa nyuma kwenye handle ya kufungua buti kumefungwa kitambaa chekundu hii inamaanisha nini?
Mkumbuke pia kipindi cha nyuma basi zote...
baada ya kutafakari kwa muda nimeamua kufanya maamuzi ya kutaka kujiunga forex
wakuu ni vitu gani napaswa kuandaa na kulipia hadi niwe mwanachama
Pia je itamfaa mtu anaesafiri mara kwa mara?
Habri wana jamvi.. Kuna huu mti unatumika Sana Kama mapambo na kivuli ktk nyumba zetu.. Kuna mgen alinitembelea akanambia Mti huu unahusishwa na ushirikina. Mikosi magonjwa na nuksi ktk nyumba...
Kwa kweli bustani hiyo tajwa inatutia aibu wakazi wa jiji pamoja na viongozi wote wa jiji ili na vitongoji vyake,dunia nzima katika miji utakuta bustani nzuri za kupendeza,huko utakuta wananchi...
Ni wazi Gambling pays big time to these gambling companies,
Michezo hii ina hasara nyingi kwa wananchi kuliko faida,
Kuna haja serikali kudhibiti hii michezo inayowatengenezea faida kubwa...
Juzi ilitokea ishu ya nyufa katika kuta za hostel pale UDSM, walijitokeza watu wengi sana kupondea wahandisi waliojenga lile jengo.
Wengi wa walioponda ni ambao sio wasomi na wale wasomi...
Baadhi yetu huweka akiba zetu kwenye mitandao ya simu sasa huo ugonvi wenu na serikali utaisha lini?maana mko kimya tu mwisho siku ikala kwetu ikizingatia wengine2 hugeuza laini simu vibubu
Nachukua fursa hii kuwaomba SUMATRA kurekebisha na kutangaza katika vyombo vya habari kuwa nauli toka Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au kwa Ndevu ni 400/= kama ilivyo mabasi ystokayo Bunju.
Nauli ya...
Habari wanaJF,
Watu wanne wanaohisiwa kuwa ni wezi wa mifugo na pikipiki wameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kisha miili yao kuteketezwa kwa moto na wafugaji katika kijiji cha Mswaha kilichopo...
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limekamata shehena ya dawa za kulevya kufuatia msako uliyofanyika kati ya Januari 1-24 mwaka huu.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga SACP...
Kwenye kipato chote halali cha mwaka, asilimia 82 ilienda kwa mabilionea wa dunia huku maskini wakikosa cha kuambulia. Hili limedhihirishwa na ripoti ya shirika la Oxfam iliyotolewa wakati...
Yule Wakili mahiri Ndugu Herbert Nyange amefariki dunia juzi asubuhi. Heshima za mwisho ni kesho (25/1/2018) huko kanisa la KKKT Sengerea. Sambamba na hilo, Jaji mstaafu Robert Kisanga naye...
1.Siwezi kununua gari kwa mkopo.
2.Huyo bwana wake ni mkubwa kuliko yeye, alifuata pesa tuu!
3.Iphone kitu gani, simu simu tuu bora mawasiliano.
4.Siwezi kula chakula cha kwenye fridge...
Ndugu wana jamii wenzangu! Sina shaka muwazima wa buheri. Turejee kichwa cha habari husika!
Nimejaribu kutafakari kwa kina kuhusu viwanda na uwekezaji katika nchi yangu Tanzania, nimewaza kwa kina...