Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1.Ghana 2.Sychelles 3.Mauritius 4.Botswana 5.Namibia 6.Algeria 7.Sao tome & Principe.
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Ulikua ni mchezo maridhawa wenye taratibu na kanuni zilizosukwa vizuri sana. Kuna kiduara kinachorwa zikawekwa gololi zikiitwa kwenye mchezo "mali", ambazo wachezaji wote wanachangia kwa idadi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi Mh. Rais Christmas hii amesalia kanisa gani. Sijasikia alipokwenda kusali. Hii ni siku kubwa na Rais ni nembo ya Taifa, kujua aliko sali ni muhimu kwa raia.
0 Reactions
5 Replies
756 Views
Malalamiko ya wachimbaji wadogo ni kutothaminiwa na kupewa huduma muhimu za kijamii ikizingatiwa kuwa wanafanya shughuli zao kisheria kama wazawa ambao wana haki ya kutumia rasilimali zilizopo ili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hizi ni nchi mbili duniani zisizo na eneo maalumu lenye mipaka maalumu na ambazo watu wake wanaishi kama raia wasio rasmi kwenye nchi ambayo haikuwepo kabla. Wote hawa wanatawaliwa na nchi...
0 Reactions
4 Replies
677 Views
Hawa kwote ni partners in crime, kuanzia Migodini, real estate mpaka kwenye mobile phones companies lkn Rostam Aziz ni tajiri mkubwa sana, na utajiri wake ameupatia hapa kwetu, kwanza nasikia ana...
1 Reactions
48 Replies
11K Views
Kabla ya kuanza kusoma kisa hiki naomba tuwe watulivu na wanyenyekevu pale watumishi wa Mungu wanaposema jambo, ni hatari kuwadharahu. 1 Wafalme 22 1 Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya...
8 Reactions
6 Replies
2K Views
Joel 2:12-13 Even now,” declares the Lord, “return to me with all your heart, with fasting and weeping and mourning.” Rend your heart and not your garments. Return to the Lord your God, for he is...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
THE LESSON FROM A DONKEY! One day a farmer's donkey fell down into a well. The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out what to do. Finally, he decided the animal was...
1 Reactions
0 Replies
528 Views
Heshima kwenu. Huwa nashangaa yanapojiri baadhi ya matukio Nchini ambayo yanagusa maswala ya Imani, Waumini ama Viongozi wengine wa Kiimani. Huwa najiuliza ni kwa nini viongozi hawa wawili, Yule...
0 Reactions
4 Replies
777 Views
Wanaume ni watu wa ajabu sana, Wanaume utawakuta wanawananga wanawake na wakati fulani wanawapa majina ya ajabu kisa tu wamekubaliwa mombi yao kwa haraka, majina kama 'maharage ya mbeya, maji mara...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi Haiwezekani toka mbs 2600 mpaka mbs 1300 na. Hawa haloteli wamezidi sasa. Jana nimeangalia salio la mbs, zilikuoemo 156 ile nacancel tu, nikatumia ujumbe wa salio la mbs 5...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana JF Katika mji Mdogo wa kibiashara uitwao Makambako ulio mkoani Njombe asubuhi ya leo Askari polisi ajulikanae kwa majina ya Zakayo Dotto Kileka amemtwanga risasi na...
32 Reactions
314 Replies
53K Views
Wachagga kwa mirungi aiseeee......atakuwa alikuwa ana kwenda kuuza wenzie wamemchoma.......... Halafu anaonekana ameshajikojolea......kabisa Hawa watu ni hatari sana katika Taifa hili na jamii kwa...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Leo Tanroads wameanza Bomoa Misikiti yote ambayo viongozi wa dini ya Kiislam waligoma kuboma huu ni msikiti wa kimara mwisho
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali Dawasco tatizo ni nini kuwakosesha wakazi wale wa Ununio maji kwa siku tatu mfululizo?!!!!.... Jirekebisheni bhana!!
1 Reactions
1 Replies
944 Views
Anachokiongelea Kamanda Kuhusu Ajali Za Mwaka Mzima 2017 Za Barabarani
0 Reactions
0 Replies
918 Views
*Masaa machache yalopita..* Mbwa amenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili.. Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama 80/90 hivi.... Ghafla tukamwona...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii habari nimeipata kwenye mtandao wa kijamii. Ina funzo kwa kila mmoja wetu, tunapokaribia kumaliza mwaka 2017. "Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…