Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mapadre wengi,maaskofu na wachungaji wengi kuacha elimu ya dini ni lazima atakuwa na elimu Dunia yaani ni ngumu kumkosa askofu aliyekosa hata Degree au hata Diploma tu ya jambo fulani Na ndio...
1 Reactions
0 Replies
738 Views
Hali si shwari ndani ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) na sasa kundi la viongozi ndani ya baraza hilo wanakula njama za kumuondoa kiongozi wao makini Mufti Zubeir. Hali hiyo inakuja huku zaidi...
11 Reactions
199 Replies
24K Views
Nalikumbuka sana hili gazeti kaka angu alikua ananunua kila toleo la gazeti hili wakati huo mimi nikiwa kidato cha pili nilikua napenda sana kusoma makala zake, hakika zilikua nzuri sana. Wakuu...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
*Read it between line pse* Real Life Story..... Ezra and Thomas joined a company together a few months after their graduation from university. After a few years of work, their Manager promoted...
1 Reactions
1 Replies
469 Views
Dkt. Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za Lugumi, amesema kwamba hivi karibuni anatarajia kwenda kuishi Marekani, baada ya Umoja wa Mataifa...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Msemo wa hakuna aliyekamilika una maana pana sana. Msemo huu hutumika kwa binadamu na siyo Mungu. Maana ya msemo huu ni kwamba, haijawahi kutokea binadamu akafanya mambo yake kwa ukamilifu kwa...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Tunaomba tuangaliwe kodizijiko juu watuwamefunga madukayao tunaiomba msaada wenu
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Ajali Ya gari lililobeba wanafunzi wa shule ya CTC huko Mkoani Ruvuma, Wilayani Mbinga, Kijiji cha Kigonsera lateketea kwa moto baada ya kupata ajali. Inasemekana watu wapatao watano wamefariki...
0 Reactions
71 Replies
31K Views
Ndugu wana JF, Dk Slaa amewaambia viongozi wa dini kwamba anawapenda sana, ila amewasihi wasijiingize katika malumbano yasiyo na tija kwa kuilalamikia jumuiya ya UKAWA, kwani litakuja kuwahukumu...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
JF members, Don't we have anything else that can be the spirit of our Nation than Konyagi (an intoxicated drink containing alcohol)? Who speaks,sows; who listens,reaps! SPIRIT= Strength, Mood...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Watu wengi wanamfahamu nyoka kuna makundi 2 ya nyoka moja wapo ni vernomous snake "Nyoka wenye sumu na wengine ni non vernomous snake " nyoka wasio na sumu.Watu wengi hawana elimu juu ya Nyoka...
29 Reactions
49 Replies
12K Views
Dar es Salaam. Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (Tewuta) kimepongeza hatua ya Rais John Magufuli kumtaka Waziri wa Fedha kuanza uchunguzi kubaini ukweli...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndugu wana jf sasa kuna usafiri wa mbagala rangi3 to Mhimbili moja kwa moja Eicher mpyaaa
1 Reactions
3 Replies
720 Views
Nimekuta mjadala uliokuwa ukizungumzia changamoto ya usafiri na abiria hasa nyakati kama hizi za mwisho wa mwaka. Mojawapo ya hoja ya kutaabika kwa abiria wakipandishiwa nauli hovyo ni kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Naomba kuwakilisha Wakuu, Nimekuwa nikitembea sehemu nyingi nje ya nchi yetu. Kitu kimoja sijakiona ni mchanganyiko wa biashara za kila aina kwenye makazi ya watu na hata industrial areas...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
*SHEIKH AHMED ISLAM NIMJUAE* *Ramadhani K. Dau* Ilikuwa siku ya Jumamosi tarehe 23 Disemba 2017, majira ya saa 5 usiku kwa saa za Malaysia nilipopata ujumbe mfupi wa sms kutoka kwa *Sheikh...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
kulitokea mfalme mmoja katika nchi ya Tanzagiza mfalme aliahidi maisha bora kwa watanzania aliahidi ataongeza ajira kwa kujenga viwanda aliahidi maisha ya wafanyakazi wake yatalkua bora...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ningepends kufahamu ile Barua walioandika Wazungu ambayo tulionyeshwa hapa JF kwa Serikali yetu kuhusiana na tukio la Tundu Lisu, ilifikia wapi? Kuna anayeweza kunipa mrejesho? Tuliambiwa na...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Hivi kwani muafaka wa watu wasiojulikana ktk jamii haujapatikana! Au mpaka mwakani??
0 Reactions
1 Replies
672 Views
Mahakama ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela Baraka Simon (24), mkazi wa Kijiji cha Muranda, wilayani hapa, baada ya kukiri kosa la kubaka mwanafunzi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…