Mcben100
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 398
- 581
Nalikumbuka sana hili gazeti kaka angu alikua ananunua kila toleo la gazeti hili wakati huo mimi nikiwa kidato cha pili nilikua napenda sana kusoma makala zake, hakika zilikua nzuri sana. Wakuu naomba kuuliza hivi hili gazeti liliishia wapi, je hakuna magaeti au majarida mengne yanayoweza kua mbadala wake. Pia anaeweza apata japo matoleo ya nyuma ningependa ata niyapate nirudie tena makala zake.