Let's keep the beautiful dark skin God gave us

Let's keep the beautiful dark skin God gave us

H7N9

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
311
Reaction score
80
Some men and women are bleaching their skin using dangerous chemicals.

Black is beautiful, People should be happy with their God given skin. I know of a woman who has to visit a clinic regularly because her attempt to lightening her skin backfired. Some skin lightening creams contain mercury and other deadly chemicals.

You girls I love ya dark skin and you men don't do DAT sheet.
 
Do you think they will understand you? They are filled with inferiority complexes and I believe these kind of people are good for nothing when it comes to life in general because lack of belief in themselves doesn't end on bleaching only but in all aspects of life. I happened to know one who bleached her skin, she always feared everything and she used to be tempered unreasonably
 
Whitey don't have beautiful white skin that God gave them for keeps?
 
Do you think they will understand you? They are filled with inferiority complexes and I believe these kind of people are good for nothing when it comes to life in general because lack of belief in themselves doesn't end on bleaching only but in all aspects of life. I happened to know one who bleached her skin, she always feared everything and she was used to be tempered unreasonably

What do you mean by "she was used to be tempered unreasonably"?
 
Elimu pia inachangia kwa kiasi kikubwa sana. Wengi wanao jichubua hawana elimu na hawajiamini. Na pia ni muda wa serikali kuamua taifa letu liweje na watu wawe na mawazo gani reaction zao ziweje miaka kumi ijayo. Media zina changia sana hili suala na ukizingatia pia kila Tv Commercial ina prefer light/ fair skin women na hii ina athiri dada zetu sana.
 
Do you real think elimu to be the factor? For your information even graduates do that. Ukisema tv na baadhi ya waigizaji kupromote hiyo kitu I will agree with you, mfano wale alina Mkwere na yule mama kindole utawasikia wakisifia weupe eti mtoto cheupe ...(kindole's voice) sasa hao ni ukosefu wa elimu na kujiamini lakini kwa wasomi na wajanja wa mjini ni kutojiamini tu
 
Vipi kuhusu elimu juu ya vipodozi wanavyotumia?wanayo or wamepewa?.nadhani kama inawezekana watumiaji wangeambiwa madhara ya utumiaji wa vipodozi hasa hivi wanavyobadilishia rangi.Binafsi nadhani hawana elimu hiyo as hata wanaowauzia huvipamba tu bila ya kusemea negative effects za vitu hivyo.
 
Jamani kujichubua ni bomu lingine linalosubiri kulipuka.
Sio akina mama,mabinti kwa vikongwe na hata vijana wa kiume nao wanajichubua sana siku hizi.
Hebu zipendeni ngozi zenu jamani!
Watu mmekuwa na mabaka kama chatu,uso na miguu ni vitu viwili tofauti hadi kinyaa!
HAMPENDEZI!
 
Elimu pia inachangia kwa kiasi kikubwa sana. Wengi wanao jichubua hawana elimu na hawajiamini. Na pia ni muda wa serikali kuamua taifa letu liweje na watu wawe na mawazo gani reaction zao ziweje miaka kumi ijayo. Media zina changia sana hili suala na ukizingatia pia kila Tv Commercial ina prefer light/ fair skin women na hii ina athiri dada zetu sana.

sidhani km elimu ndio factor, maana mm naona karibia level zote za madada wanajichunua, yaani sasa hivi imekuwa km ujanja fulana kumbe kimeo
 
Whitey don't have beautiful white skin that God gave them for keeps?

Hapo sasa...ila nadhani weupe hauna mushkeli maana hakuna cream za kumfanya mtu mweusi!
Kwahiyo weupe tunajikeep naturally.
 
Jamani kujichubua ni bomu lingine linalosubiri kulipuka.
Sio akina mama,mabinti kwa vikongwe na hata vijana wa kiume nao wanajichubua sana siku hizi.
Hebu zipendeni ngozi zenu jamani!
Watu mmekuwa na mabaka kama chatu,uso na miguu ni vitu viwili tofauti hadi kinyaa!
HAMPENDEZI!

Nifah upo mama?wewe ndo first lady wa jf.
 
It does not occur in my mind that a person bleaches her or his skin because of being Black.
You can't be who you are not.
At times a person needs to accept him or herself and speak to oneself that he or she is precious. A person who bleaches his skin has a low self-esteem.
I am proud to be black
And If any would ever happened to ask me which one is my favourite color. I would respond happily, BLACK.
I AM PROUD BECAUSE I AM BLACK PERSON.
 
Kujichubua hakutoisha hata ukamilifu wa dahari. Inferiority complex imetuingia watu weusi hadi rohoni na inazidi kuongezeka kadri muda unavyokwenda.

Siku hizi kuzaa na mzungu ndio dili ili mtoto atoke .5 ndio tunaona mtoto mzuri, in other words, watoto weusi wabaya ila wazungu na .5 ndio wazuri.

Tulishakataa tamaduni zetu na kuiga za mtu mweupe, tumekataa na tunazidi kukataa majina yetu na kukimbilia ya weupe kwa speed, sahizi unakutana na mtu majina yake matatu ni Happy Charles John au abdallah Salim Mohamed tena siku hizi kuna hadi watoto wa waswahili wanaitwa Sean na Beyonce Ni hatari. Nywele zetu tunaona hazina dili tunataka za kama wazungu. Dada zetu na shape za kibantu wanaona hawana soko nao wanataka shape zakizungu ili kwenda na trend iliyopo

Kifupi inferiority complex imetuingia kiasi Cha kuto-reverse tena hivyo kuchibua kutazidi badala ya kupungua ili tuende sawa na wakati
 
We have a new name for the thick headed. ...They are called Nyumbu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom