Je, tunamdanganya nani?

Je, tunamdanganya nani?

ChamaB

Senior Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
142
Reaction score
241
Habarini za mchana wana jukwaa.Leo waziri wa fedha na mipango ametoa takwimu kuwa tuna $5911.2 katika hifadhi yetu ya fedha za kigeni je ndugu waziri anamdanganya nani na kwa faida ya nani?na pia ni kwa nini hadi sasa hivi hajakamatwa na kushtakiwa kwa kutoa takwimu ambazo zipo nje ya uwezo wa nchi yetu....
Al-Jumaa Maqbul wana JF...
IMG-20171229-WA0130.jpg
 
Anawadanganya walengwa wa hiyo habari usichoelewa ni nini
 
Kwa nini unasema kadanganya?
Kwani akiba ina kiasi gani sasa hivi?
 
Hizo ni sawa na Dola Trillion 5.9112! Hizo ni pesa nyingi sana, hakuna sababu ya kuomba msaada toka nje. Nina wasiwasi na Takwimu hizi.
 
Back
Top Bottom