Scorpion ni mhalifu hatari ambaye amekuwa akifanya mambo mengi ya kinyama kwa watu na mali zao eneo la Buguruni na maeneo mengi ya jijini Dar na Tanzania kwa ujumla.
Wiki iliyopita alifanya...
Jana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.
Kwa wadau...
Watu wanne akiwemo mzee wa miaka 60 ambaye ni raia wa Ujerumani wameuawa wakati wa kusherehekea mkesha wa mwaka mpya visiwani humo.
Mpaka sasa watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi...
Habarii Wakuu
Naomb Tushirikiane hapa Namna ya Kutengeneza Coktails Nyumban na pia kuambia Spirits Nzuri na Wale wa Ngumu Kumesa :D:D:D:D
Nianze na Mim Binafsi Nimetumia Henessy Jamson Abs Vodka...
Wapendwa nisiwachoshe hizi imani zingine za kufanywa watumwa na waliojipa dhamana ya kuwachunga binadamu, inapelekea watumwa wengi wa kiroho kuongezeka na huu ni mfano mchache...
Wakuu mi si mtu wa bongo flavor sana,ila kiukwel huyu dogo diamond ana njaa sana na inabid apongezwe,yaan na mafanikio yoote bado tuu hachok,he is going beyond,sina team yoyote,ila this boy...
Awali ya yote napenda niwatakie heri ya mwaka mpya wapedwa wote na wana jf wote .
Kwa kweli ndugu zangu nimeingia mwaka 2018 nikiwa na majonzi ya baba yangu mzazi ambaye kwa sasa amekimbia...
Ninavodhani kwa dhati kabisa ni kwamba hatuwezi kuwa na maendeleo ya viwanda kama bado hatujaboresha miundo mbinu ya uchukuzi, hii inahusisha barabara za mijini na vijijini, reli mijini na...
What is so special about mwaka Mpya?
Tangu nikue na niwe na akili timamu nimeona shamrashamra nyingi kuhusu kupokea mwaka mpya kwa maana ya namba kuongezeka tangia nikiwa na akili timamu.
Enzi...
A.ITV
B.TBC
C Azam tv
D.Channel 10
E.Star tv
F.Clouds tv
Wadau,na sisi kupitia mtandao wetu huu wa JamiiForums, si vibaya tukafanya tathimini ya namna vituo tajwa hapa juu vinavyoripoti kwa usawa...
Habari za mwaka mpya wakuu.
Nahitaji shuka la kimasai lenye rangi hiyo hapo chini kwa ajili ya matumizi ya sare ya shule kwa mwanangu. Leo nimezunguka sana Kariakoo bila mafanikio.
Kwa yeyote...
Wengi wetu tunafahamu wakazi wengi hasa kule kunakopikwa sana mbege wanamiguu miembamba, hasa kina dada.
Utafiti Mdogo nilioufanya, wadada wengi waliozaliwa huko kwenye mbege na wakaitumia mbege...
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kilwa ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Christopher Ngubiagai pamoja na waandishi wa habari akiwemo wa kituo cha Channel ten mkoani Lindi, Abdulaziz Ahmed...
Heri ya mwaka mpya wanajamvi.
Nahitaji msaada wa kisheria na kielimu ili niweze kufikia ndoto zangu.
Mimi ni mwanafunzi wa kitivo cha elimu chuo kikuu SAUT mwanza compus. Nikisoma Bacheral of Arts...
Habari Ndugu zangu......
Kwa jina naitwa David Mwakisese ni mzaliwa wa Mbeya ila nipo dar kimaisha umri wangu ni miaka 40 nmeamuwa kwa hiyari yangu kushare nanyi jambo hili lilonitokea maishani...