manzuki
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 274
- 143
nakushukru bwana kwa yale yote uliyonitendea mwaka 2017 asante kunifikisha 2018 nikiwa na afya njema pamoja na familia yangu sina cha kukutolea zaidi ya kusema adante mungu kwa rehema zako ulizozionesha katika kazi zangu zote nilizofanya mwaka 2017 naomba baraka zako ziendelee unipe hekima na maarifa katika mwa 2018 katika kuyaongoza maisha yangu ya kila siku pamoja na familia yangu
amen
amen