Ndugu zangu, Namshukuru Mungu Mwenyezi kwa kutuvusha salama mwaka 2017.
Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema wenye upendo, baraka na mafanikio.
Majibu ya changamoto za 2017 yatutie nguvu za kuweza kufikia malengo yetu, ya jamii na Taifa kwa Ujumla.