Tunaongia na Madeni 2018

Tunaongia na Madeni 2018

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
483
Hahahahhha.....ni kweli nadaiwa ila nina mipango kadha wa kadha kuwalipa wadeni wangu.Mungu ni mwema na ataniwezesha katika hilo.

Kama unadaiwa pia ni sehemu ya maisha be happy..maisha lazima yaendeleee
 
Kweli mkuu, kikubwa ninaamini 2018 ndio mwisho.
 
Back
Top Bottom