Kwa anayefahamu au anayo hii bidhaa tafadhali tuwasiliane naihitaji sana,.
Either kama unajua wapi inapatikana pia naomba unifahamishe tafadhali!!
Natanguliza shukrani,.
TAARIFA: Gazeti la UHURU la jana ukurasa wa 15 kuna barua ya Mwl. Ndyamukama akimuomba Waziri Mkuu amsaidie arejeshewe fedha alizokatwa kimakosa na Bodi ya Mikopo. Tumefuatilia malalamiko hayo na...
Matukio mengi ya kukumbukwa yalitokea mwaka 2017 yakiwemo kujiuzulu kwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe na mabadiliko sambamba katika nchi za Gambia na Angola.
Isisahaulike kufutwa kwa uchaguzi...
Ndugu wana JF, niwatakie kheri ya Mwaka mpya 2018.
Kwanza kabisa niwapongeze walioshiriki katika ununuzi wa mabasi haya, ninawapongeza kwa sababu ni magari yenye injini za uhakika(Cummins) tena...
Wakati Babu Seya na mwanaye wakiwa tayari wametimiza azima yao ya kumuona Rais, Mganga Matonya, aliyeepushwa kifungo cha maisha, analalamikia hali yake kuwa imemzuia kusafiri kwenda Ikulu...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na shida kubwa ya wafanyakazi wa ndani tofauti na jamani. Tatizo hili limepelekea kuzuka kwa matapeli wanaojifanya kuwa mawakala wa wafanyakazi wa kuwatoa madada...
Wajumbe wa Chama cha wamiliki wa mabasi nchni TABOA wamelazimika kutoka katika mkutano uliohitshwa na Mamlaka ya uthibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini-SUMATRA- na kuacha mkutano huo...
"Nikiwa Gavana safari moja nilialikwa katika uzinduzi wa Hotel moja hapa Marekani
Baada ya uzinduzi nilishangaa kupewa barua ya offer
Kuwa wakati wowote nikitaka kulala hapo hotelini chumba changu...
Naomba wanasheria na political scientists wanifahamishe kama Uingereza ina sedition law kama ilivyo kuwa drafted kwetu....................... with elements of silencing freedom of expression...
Nianze kwa kuwafahamisha ambao hawajajua pesa zao za kwenye simu huwa zinaenda wapi pindi line zao za simu zinapopotea au kutotumika kwa muda mrefu.
Ni kwamba unapoacha kutumia line yako ndani ya...
Kijana mmoja ambaye amefahamika kwa jina la Mohamedy Msangi (28) mkazi wa Kilakala Manispaa ya Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kujipatia mkopo wa milioni...
Basi ilikuwa trh 24 siku 1 kabla Christmas kama kawaida maza na mshua wakaniambia twende mjini kununua nguo. Basi nikajiandaa fasta huku akili yangu ikijua lazima kile kiatu ninunue.
Basi...
Wakuu embu nihabarisheni kwa uelewa wangu
Nimesikia from clouds media. Kuwa Bodi ya
Bima ya Amana itawalipa Wateja kiasi cha juu
1.5m bila kujali mteja alikuwa na kiasi gani .
Wenye kiwango...
Nimekaa Hapa ninatafakari mtu anawezaje kuishi kama mashetani?
Sababu ya kumfanya aishi Kama shetani ni ipi?
Je tukiishi kama mashetani ni faida au hasara ipi italikumba taifa?
Je mkuu...
Meneja wa wakala wa Majengo TBA mkoa wa Kigoma Mhandisi Mgalla Mashaka amekamatwa na polisi akituhumiwa kushindwa kukarabati shule ya sekondari Kigoma kwa wakati licha ya kupewa zaidi ya shilingi...
Wiki iliyopita palikuwa na mjadala uliohusisha Sumatra, Taboa na Chama cha kutetea Abiria Chakua ukirushwa live na ITV. Hii leo kwa mujibu wa taarifa ya habari 20:00hrs palikuwa na mkutano...
Naona KINAPA wakishirikiana na wenyeji wanaozunguka maeneo ya karibu ya mlima Kilimanjaro wamefanya kazi nzuri na sasa ile hali ya barafu juu ya mlima inarudi kama zamani.
Hii hali ilikuwa ni kwa...
Habari za usiku huu:
Hivi kuna ukweli kwamba kama mtu hajalala usiku basi ni Popo na kama ni Bundi ni Mchawi?
Hivi kuna ukweli kwamba viongozi wetu wanahubiri Tanzania ya Viwanda kwenye Majukwaa...