Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Poll Poll
Wadau! nataka tufanye utafiti mdogo, kujua ni callcentre ipi kati ya callcentre zilizochini ya makampuni yalioyo Tanzania inatoa huduma nzuri sana! kumbuka tuangalie kwa mwaka 2017 achana na...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Kusamehe si jambo rahisi pale inapotokea mtu umetendewa vibaya na mtu fulani. Ila kama huyo aliyetendewa vibaya ni mcha Mungu, hakika kusamehe ni jambo rahisi sana. Nelson Mandela alifungwa jela...
0 Reactions
3 Replies
701 Views
Kwa kipindi hiki watumiaji wa Bima za Afya wamekuwa wakipokea moja kwa moja ujumbe kwenye simu zao za mkononi kutoka NHIF kuwajisha kuwa Kadi zao za bima zimetumika. Kwa kutaja Tarehe; siku; muda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salum Njwete maarufu Scorpion akiwa chini ya ulinzi. Kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu za...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mume na mke wakazi wa kitongoji cha Kidogue wilayani Mkalama wamefariki dunia kwa madai ya kukatwa mapanga shingoni na kichwani na watu wasiojulikana. Mauaji ya wanandoa hao, Kija Kitundu (53) na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana bodi kama kichwa kinavyoeleza naomba mnisaidie kuhusu hawa Jamaa hivi sio matapeli hawa? Maana juzi walikuja ofisini kwangu wakanishawishi kujiunga na huduma yao kweli nikashawishika na...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Kusema kweli,mimi ni mkazi mbuyuni nilianza taratibu za kutaka kupata huduma ya maji safi toka mwezi wa saba mwaka huu,jinsi walivyoslow wakaja kusurvey mwezi 9 majibu ya gharama yakatoka mwezi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna kamtindo kameanza siku hizi hasa msimu huu sikukuu zinavokaribia makondakta wa mabasi ya Arusha Dar wanakataa kupakia abiria wa Moshi. Na ikatokea ukipanda wana kauli chafu za kukera. Kuna...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wana Jamvi hili ni wazo langu tu kuhusu nchi ya Congo hasa baada ya wanajeshi wetu wengi kuuawa kinyama na Waasi wa ADF na pengine wakishirikiana na makundi mengine. Akili ni nywele kila mtu ana...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
yes,hatutaki vizazi vyetu vijavyo wapitie bomoa bomoa, sio kurudia rudia na bomoa bomoa zenu, fanyeni once and for all, na nyie mnaojenga mafly over ,jengeni kwa uimara hatutaki maafa, Na pia...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanasema kuishi na kuwa na pesa ni ujanja tu. Hapa Tanzania wale waliosoma shule wakawa wanashika nafasi za kwanza na za pili darasani hupelekwa kusomea mambo ya engineer wakavumbua na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Labda ni ushamba wangu. Mimi najua kituo kimoja tu cha pale faya Kariakoo.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini Kusamehe wafungwa wakati bado kuna utaratibu mbovu wa kuendesha mashauri yawe ya jinai au madai ni unafiki mtupu. Raia wengi wanacheleweshewa haki zao za msingi pasipo...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Wana JF, Pita Mlimani City kwenye milango ya kuingilia utakutana na mabinti wamevishuwa vigauni vifupi kupindukia kwa ajili ya kugawa fliers na kuitangaza tiGo Kweli kazi hiyo inahitaji mabinti...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Umeibuka mvutano mkubwa wa kugombea fedha za matibabu ya majeruhi 43 wa bomu la kurushwa kwa mikono lililosababisha vifo vya wanafunzi watano katika shule ya msingi Kihinda baada ya uongozi wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la polisi mkoani Mtwara limewakamata watu 2 kwa tuhuma ya kukutwa na noti bandia,zenye thamani ya jumla ya shilingi 770,000 eneo la Magomeni Migomigo katika manispaa ya Mtwara/Mikindani...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Taarifa tulizopata zinasema kuwa ni wanafunzi 20 pekee ndiyo wanaojua kusoma kati ya wanafunzi 164 wa shule ya msingi majengo iliyopo katika kijiji cha Mafisa Wilayani Handeni Mkoani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo nimempeleka mke wangu hospitali moja ya wilaya ila nikashangaa baada ya daktari kumcheki cheki tatizo lake la jino na sikio na kuminya minya kooni na kumwambia akapima malaria ,uti,kiasi cha...
2 Reactions
87 Replies
8K Views
BABA YANGU HAKUWAHI KUTUPIA WATU KWENYE MACHUPA KIPINDI ANAPIGISHA DISCO KIWOSO BAR na LUXURY BAR-mtaa wa KILIMA,NYIHOGO, WILAYANI KAHAMA. Mzee wangu Nalimi Ismail Kisandu alikuwa ni DJ (Disco...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Miili ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliouawa na waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inarejeshwa nchini leo. Taarifa ya ofisi ya habari ya JWTZ...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
Back
Top Bottom