Simulizi fupi yenye mafunzo

Simulizi fupi yenye mafunzo

K W L

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
232
Reaction score
48
"Nikiwa Gavana safari moja nilialikwa katika uzinduzi wa Hotel moja hapa Marekani
Baada ya uzinduzi nilishangaa kupewa barua ya offer
Kuwa wakati wowote nikitaka kulala hapo hotelini chumba changu kitakuwa tayari 'booked'kwa jina langu na sitolipia...

Sikuwahi kwenda hata mara moja kulala ama kutumia offer hiyo.

Mara baada ya kumaliza Ugavana wangu siku moja nikaenda na Offer yangu pale Hotelini mara kadhaa nikiambiwa hakuna Nafasi ya hiyo Offer.

Nikatoka nje ya Hotel pale tulipofanya uzinduzi miaka iliopita nikatandika chini na kulala hapo.

Wakaja watu wakashangaaa sana,
Nimechanganyikiwa ama la.

Alipokuja mwandishi kunihoji nikamwambia nina statement nataka kuithibitisha na ni hii:

'Wakati unanafasi hasa ya madaraka, kunawatu watakuthamini sana kwa kuwa cheo chako kinafaida kwao na si wewe,

siku ukikosa hiko cheo hawatokuthamini,na leo nimeweka ushahidi wa hilo na si kwamba nilikuwa na nia ya kulala hapa Hotelini.

Wenye vyeo na Madaraka tuweni makini sana tusije mkatumika kwa maslahi ya vyeo na madaraka yetu,Na tusije tukadhania marafiki hao na offer za namna hiyo tunazopata tukiwa na madaraka zitaendelea TUKIWA HATUNA HAYO MADARAKA."
 
Sio simulizi, ni Hali halisi iliyomtokea anorld schwarzenegger
 
ANASIMULIA ALIEKUWA GAVANA WA KALIFONIA MAREKANI NA MSANII MAARUFU WA MOVIE

ARNOLD SHWARZENEGGER.

"Nikiwa Gavana safari moja nilialikwa katika uzinduzi wa Hotel moja hapa Marekani
Baada ya uzinduzi nilishangaa kupewa barua ya offer
Kuwa wakati wowote nikitaka kulala hapo hotelini chumba changu kitakuwa tayari 'booked'kwa jina langu na sitolipia...

Sikuwahi kwenda hata mara moja kulala ama kutumia offer hiyo.

Mara baada ya kumaliza Ugavana wangu siku moja nikaenda na Offer yangu pale Hotelini mara kadhaa nikiambiwa hakuna Nafasi ya hiyo Offer.

Nikatoka nje ya Hotel pale tulipofanya uzinduzi miaka iliopita nikatandika chini na kulala hapo.

Wakaja watu wakashangaaa sana,
Nimechanganyikiwa ama la.

Alipokuja mwandishi kunihoji nikamwambia nina statement nataka kuithibitisha na ni hii:

'Wakati unanafasi hasa ya madaraka, kunawatu watakuthamini sana kwa kuwa cheo chako kinafaida kwao na si wewe,

siku ukikosa hiko cheo hawatokuthamini,na leo nimeweka ushahidi wa hilo na si kwamba nilikuwa na nia ya kulala hapa Hotelini.

Wenye vyeo na Madaraka kuweni makini sana msije mkatumika kwa maslahi ya vyeo na madaraka yenu,Na usije ukadhania marafiki hao na offer za namna hiyo unazopata ukiwa na madaraka zitaendelea.
f5e1c5792b87736bbc8f5091b2e00d7a.jpg
 
Mbona hiyo inajulikana sana muulize JK alishusha mizigo ktk ndege pale wasaidizi wake walipochelewa kufika uwanjani
 
Wajiongeze zaidi kwamba wanayoyafanya ya ubaya kwa watu wakiwa na vyeo wajue yatawageukia vyeo vikiisha. Na kwa sasa ule usemi wa cheo ni shamans unaeleweka vizuri kuliko hapo awali.
 
Mbona hiyo inajulikana sana muulize JK alishusha mizigo ktk ndege pale wasaidizi wake walipochelewa kufika uwanjani
Kuna kitu cha kujiuliza kuhusu maisha ya Mwl Nyerere, mbona yeye baada ya kutoka madarakani ndio umaarufu na upendo kwake ukapanda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom