Huyu mtangazaji wa EATV, hapana kwa kweli!

Huyu mtangazaji wa EATV, hapana kwa kweli!

Status
Not open for further replies.

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,340
Reaction score
25,187
Leo nilikuwa naperuzi hizi local channel na ghafla macho yangu yakatua kwenye EATV, nikakutana na mjadala ambao ulikuwa ukiongozwa na dogo mmoja, simfahamu jina lakini nadhani yupo mda mrefu sana hapo EATV maana kuna wakati flani hivi nilikuwa naangalia hiki kituo na kumuona huyu dogo akisoma habari!
Kilichonifanya niandike uzi huu, ni muonekano wa huyu mtangazaji, kwa kweli ukimtazama mara moja unatamani kubadili chanel fasta hata kama kinachojadiliwa ni kizuri!
Japo mimi siyo mtaalam sana wa masuala ya utanashati lakini nlivyomuona anahitaji msaada juu ya utanashati maana unapokuwa mtangazaji tena unaongoza kipindi cha zaidi ya nusu saa, inabidi muonekano wako uvutie kuanzia nywele(kichwani), uso pamoja na mavazi!
Sasa huyu dogo, mh nywele zipo rough, hajachana (au angezinyoa kama na kuziweka kwenye muonekano mzuri, hazichaniki vizuri), shati na tai naona kama haviendani kabisa na hata suruali!
4271a7f7c2cd2bb42789a4f07edb959b.jpg

3ca55aabde83f6dfa77cd9e394d50c59.jpg

99773ed813e09989d05d6c8e386c9d81.jpg

My take; Asije akanyoa kiduku...
Ajitahidi kuwa mtanashati!
 
Mipicha yote hiyo?......... yaelekea ulimpania sana au pengine ni chuki binafsi!
 
Kila mtu ana vile anapenda kuonekana,,, So lyf style ya mtu n ngumu kuijaji,,,, Mf. Me naweza kuwa napenda sana kufuga Nywele bt nachana za pemben juu sichan, navaa jeans na tai juu,,, That's lyf style of somebody,,,

Yeye anaenjoy anavyoapia so worry out abt someone appearance,,,
 
Acha ush@gar mtoa mada

Iyo dalili mbaya sana kuanza kumletea hisia mwanaume mwenzako.

Kwahiyo hapo kwenye kipindi ningekuwepo mm na suti zangu na moka ingekuaje?
 
Mwanaume kuwa simple inapendeza pia. Akiwa mtanashati saaana pia wengine wangeponda na kusema mshahara wenyewe kiduchu alafu anafukuzana na fashion utadhani demu. Mambo mengine pia hufanyika kwa sababu maalum. Hivi unadhani bosi wake hamwoni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom