DNA vs WAZEE WA ZAMANI

DNA vs WAZEE WA ZAMANI

tan-1

Senior Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
100
Reaction score
81
-Nianze kwa kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku.

- Najongea moja kwa moja kwenye maada. Kama tunavyotambua sote kuwa DNA ni uchunguzi wa kitaalumu(vina 7) unaonyesha mahusiano wa baba na mtoto, technolojia haikuwepo zaman za kale.

-Kipindi ambacho hapakuwepo utaalamu huu wazee( babu na bibi) walikuwa na uwezo wa kumwangalia mtoto kiganjan na kutambua kama ni wa ukoo huo au laa!! Kama mama wa mtoto huska alichepuka( kutoka nje ya ndoa) wazee hawa walikuwa na uwezo wa kusema baba wa mtoto yule na ukoo huska.

- Je kiganja cha mtoto kinahusina vipi na baba wa mtoto??

-Na je group la damu la mtoto linawiana na la baba?? (ie group AB baba na mtoto group AB).

- kama wazee wetu walikuwa na majibu sahh kwa kuangakia kiganja cha mtoto. Kwann wasitumike mpaka sasa kutatua matatzo ya ndoa zilizoingia kwenye migogoro ya watoto!! Hasa kjjn.

-Kama huamini. Nakwambia uzee dhahabu.
 
Back
Top Bottom